Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Mama hana noma. Wengine mlitishwa na kukanywa kumtembelea mgonjwa . Lakini mama alifika Nairobi hospital kumjulia hali mgonjwa. Mtu kama huyo utamchukiaJe !!

CDM mmeshacheza ngoma ya CCM amin nawaambia kushika madaraka ya Nchi hii ni mpaka baada ya karne moja kupita
 
The way alikua anajinasibu kupambana na mafisadi kuwa na uozo kama huu ni AIBU.
 
Haya mmeyajua baada ya msiba? Maana kwenu Magufuli alikuwa msaidizi wa Malaika Gabriel kwa kutokosea.
 
Lissu ni nani hadi aaamrishe uchunguzi mbwa huyu??
 
Mama hana noma. Wengine mlitishwa na kukanywa kumtembelea mgonjwa . Lakini mama alifika Nairobi hospital kumjulia hali mgonjwa. Mtu kama huyo utamchukiaJe !!
Aisee, basi mtafute Lissu apewe kadi ya CCM aache kelele zake, na wewe pia jiunge CCM.
 
AMEN
 
nakubalina na wewe yaani ni fisi maji..... amelaaniwa

tuko pale pale maisha yanaendelea hakuna lililo haribika matusi ya nini ndugu....

atueleze kwanza kwanini alikuwa hataki barrick ichungunguzwe na kusema tutashitakiwa MIGA
Kama mlijua hamtashitakiwa MiGA mngemjibu kwa hoja, sio kumshambulia kwa masasi.
 
AMEN
 
Yaelekea Lissu kaamua kuacha siasa na kurudi kwenye harakati kikamilifu. Kama ana nia ya kuongoza mapambano makuu ya kisiasa basi asihangaike kumcharaza mikwaju punda aliyefariki (flogging a dead horse) - madudu ya Jiwe wenye uelewa tunayafahamu sana na ni suala la muda tu yataanza kudhihirika kwa wengi. Asipoteze muda wake kwa ya Jiwe yaliyopita. Sijui ni kipi tusichojua?

Nilitarajia Lissu wakati huu ajaze kurasa zake na ushauri kuhusu mikakati ya kuimarisha demokrasia, haki za binadamu, utawala bora na maendeleo endelevu nchini. Masuala kama Katiba mpya, ujenzi wa taasisi imara za uongozi, usimamizi na utendaji; usimamizi bora wa kanuni za demokrasia; nk. Hayo ndio tunayotarajia kumsikia akielimisha na kushauri mara baada ya Jiwe kuondoka. Baadaye atapata fursa ya kukosoa utendaji wa serikali inayoanza kazi sasa pamoja na kufuatilia haki zake binafsi ikibidi. He needs to stand great and tall. Aachane na utendaji wa Jiwe enzi hizo. There is no news there.
 
CDM mmeshacheza ngoma ya CCM amin nawaambia kushika madaraka ya Nchi hii ni mpaka baada ya karne moja kupita
Hakuna namna wanalindwa na vyombo vyenye kutoa maamuzi. Lakini hamsaidii mtu ccm kubaki madarakani .
 
Jibuni hoja kwa hoja.

Kwa mfano, sema ATCL na TPA hakuna uozo uliolelewa kipindi cha Magufuli.

Issue ni uozo wa Magufuli. Tundu Lissu alishakubali kwamba kashindwa urais na hajatangaza kugombea tena, kwa hiyo, hiyo si hoja.
Hio ripoti ilikua katikat ratiba ya kumkabidhi Mafuguli, hayo yote angeambiwa, haijaandikwa kwajili ya Mama Samia
 
Halafu we mzee hueleweki Kama k
Ww si ulikua unampinga jiwe leo hii unabinua mdomo unasema fefefefefe zako
Acha unafik we babu utakufa vibaya Sana

Sisisem asilia tunarudi ulingoni wanafiki Kama tunawatupa baharin
Wajinga nyie

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…