mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Niliwahi kuandika Magu angetawala miaka 15 tungevaa magunia.Kuna watu wapuuzi sana hii nchi, vichwa vyao ni kama mifuko tu ya kubebea meno na kufugia nywele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kuandika Magu angetawala miaka 15 tungevaa magunia.Kuna watu wapuuzi sana hii nchi, vichwa vyao ni kama mifuko tu ya kubebea meno na kufugia nywele.
Mama hana noma. Wengine mlitishwa na kukanywa kumtembelea mgonjwa . Lakini mama alifika Nairobi hospital kumjulia hali mgonjwa. Mtu kama huyo utamchukiaJe !!
Rahisi [emoji102][emoji1787]Ndo maana Lissu hawezi kuwa Rahisi, anadhani roho yake ndo iko kwa mwingine
The way alikua anajinasibu kupambana na mafisadi kuwa na uozo kama huu ni AIBU.Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Make me.Kaa kimya na utulie.
Haya mmeyajua baada ya msiba? Maana kwenu Magufuli alikuwa msaidizi wa Malaika Gabriel kwa kutokosea.Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Aisee, basi mtafute Lissu apewe kadi ya CCM aache kelele zake, na wewe pia jiunge CCM.Mama hana noma. Wengine mlitishwa na kukanywa kumtembelea mgonjwa . Lakini mama alifika Nairobi hospital kumjulia hali mgonjwa. Mtu kama huyo utamchukiaJe !!
AMENHana maana hata kidogo huyo jamaa.ndiyo tatizo walikuwa wanasifu mpaka wanakuwa vipofu mimacho inafumbuliwa Sasa. Kwa kuzuia habari na kufungia magazeti ya kiuchunguzi tu wenye akili walishajua madudu yatakuwa mengi
Napita nayo naendayo wapi wakati yenyewe itabaki ili ikutawale milele. Au mwenyekiti katangulia kuandaa chama uko kuzimu. Mbinguni hakuna huu upuuzi wenu wa kuwapoteza kina saa nane.
nakubalina na wewe yaani ni fisi maji..... amelaaniwa
tuko pale pale maisha yanaendelea hakuna lililo haribika matusi ya nini ndugu....
Kama mlijua hamtashitakiwa MiGA mngemjibu kwa hoja, sio kumshambulia kwa masasi.atueleze kwanza kwanini alikuwa hataki barrick ichungunguzwe na kusema tutashitakiwa MIGA
Lisu hana hasira anataka uongo wa Magufuli uwekwe hadharani. Alijafanya malaika kumbe fisadi mbobevu yeye na watu wakeLisu ana hasira sana!
Mwambieni arudi maana mbaya wake kaondoka
AMENHana maana hata kidogo huyo jamaa.ndiyo tatizo walikuwa wanasifu mpaka wanakuwa vipofu mimacho inafumbuliwa Sasa. Kwa kuzuia habari na kufungia magazeti ya kiuchunguzi tu wenye akili walishajua madudu yatakuwa mengi
Napita nayo naendayo wapi wakati yenyewe itabaki ili ikutawale milele. Au mwenyekiti katangulia kuandaa chama uko kuzimu. Mbinguni hakuna huu upuuzi wenu wa kuwapoteza kina saa nane.
Yaelekea Lissu kaamua kuacha siasa na kurudi kwenye harakati kikamilifu. Kama ana nia ya kuongoza mapambano makuu ya kisiasa basi asihangaike kumcharaza mikwaju punda aliyefariki (flogging a dead horse) - madudu ya Jiwe wenye uelewa tunayafahamu sana na ni suala la muda tu yataanza kudhihirika kwa wengi. Asipoteze muda wake kwa ya Jiwe yaliyopita. Sijui ni kipi tusichojua?Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzanianwengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.
Hakuna namna wanalindwa na vyombo vyenye kutoa maamuzi. Lakini hamsaidii mtu ccm kubaki madarakani .CDM mmeshacheza ngoma ya CCM amin nawaambia kushika madaraka ya Nchi hii ni mpaka baada ya karne moja kupita
Hio ripoti ilikua katikat ratiba ya kumkabidhi Mafuguli, hayo yote angeambiwa, haijaandikwa kwajili ya Mama SamiaJibuni hoja kwa hoja.
Kwa mfano, sema ATCL na TPA hakuna uozo uliolelewa kipindi cha Magufuli.
Issue ni uozo wa Magufuli. Tundu Lissu alishakubali kwamba kashindwa urais na hajatangaza kugombea tena, kwa hiyo, hiyo si hoja.
Kwa hiyo bora asingepambana nao, sijui kama mngekaa kimya na huyo mbelgiji wenu.The way alikua anajinasibu kupambana na mafisadi kuwa na uozo kama huu ni AIBU.
Nani kakuambia yakiwekwa wazi business inaendelea? Tumia akili.Kumbe shida ni yawekwe wazi tu, then after that business as usual, nawaambia ukweli CCM itatutawala milele.
Halafu we mzee hueleweki Kama kLissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
acha kutukana watu bwana mdogo, jaribu kujibu HOJAHivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe