Mabavu is gone what are you talking about? muache Lissu now move on..Arudi asirudi is none of our business, cha muhimu saa hii uzandiki wote ufahamike, ili wananchi waamke pindi wanapotawaliwa kwa mabavu na kutishiwa kujua ukweli, waweze kung'amua fullstop.
Serikali haijawahi kufanya biashara ikafanikiwa juwa Hilo.Lissu alisema Magufuli hakuacha chochote yaani within 5 yrs hakuna Alichofanya zaidi ya kuua na kuminya vyombo vya habari , leo katika maneno yake anasema Legacy ya Magufuli imeanza kusambaratika, kwahiyo amekubali Magufuli ameacha legacy kubwa nchini, sio kazi ya Magufuli kuilinda legacy hiyo ni sisi tuliobaki, shirika likifa ni viongozi waliopo kuwajibika, halafu kwa nini watanzania mnaombea makampuni yaliyo fufuliwa yafe? kwa nini msitoe mapendekezo ya nini kifanyike tupate faida? yaani wasomi wote tulionao hatuwezi kusimamia shirika? yaani hata tundu lissu hawezi? basi tuna wasomi hewa.
Kama povu limekutoka mkuu.Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Kila nikirudia kukusoma hata sikuelewi.Kwaiyo unahalisha kwamba yeye akiiba ni halali wengine kosa?
Aki-iba fulani ambaye sio kiongozi, au akiiba jiwe wote ni uwizi, Je akiiba mtu anayepinga wizi?
Mtu anayetaka matajiri waishii kama maskini akijilimbikizia mali na kuweka vipaumbele anakotokea?
Kuiba ni kosa kwa wote kwa mujibu wa sheria, hakuna kigezo cha mwananchi wa kawaida au kiongozi!!!
We jamaa nafikiri akili huna ila unajifanya mjuaji. Tatizo ni utawala wa Magufuli kuaminisha watu kila kitu kiko sawa kwa 100%. Wakati kuna madhaifu na ubadhirifu mkubwa.Wenzio wanajua tatizo ni Magufuli.
Mbona hayo madudu hamkuyasema? Mkabaki kusifia kila ujinga.Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Unabishana na expert?Acha upotoshaji, mwaka jana Magufuli alisema ATCL imeingiza faida ya 28b, sasa ww maelezo yako unayatoa wapi? Zama za kudanganya umma zimefikia mwisho.
Revise my edition please.Mbona hayo madudu hamkuyasema? Mkabaki kusifia kila ujinga.
Ukiona huelewi jambo huwenda sii kwa ajili yakoKila nikirudia kukusoma hata sikuelewi.
CCM itaendelea kuwa madarakani siku zote
Kazi yenu Wapinzani itabaki kujadili yanayofanyika Serikali kila siku ila Ikulu NO!
Do you think by talking the truth, he is aiming the presidency?That’s why he will never ever be president.
Too infantile.
If you can enlighten, please!Revise my edition please.
Unabishana na expert?
Kuna watu huwa wanaendeshwa na hisia sana kutizama mambo kwa uhalisia.Jibuni hoja kwa hoja.
Kwa mfano, sema ATCL na TPA hakuna uozo uliolelewa kipindi cha Magufuli.
Issue ni uozo wa Magufuli. Tundu Lissu alishakubali kwamba kashindwa urais na hajatangaza kugombea tena, kwa hiyo, hiyo si hoja.
Don’t know.Do you think by talking the truth, he is aiming the presidency?