Lissu alisema Magufuli hakuacha chochote yaani within 5 yrs hakuna Alichofanya zaidi ya kuua na kuminya vyombo vya habari , leo katika maneno yake anasema Legacy ya Magufuli imeanza kusambaratika, kwahiyo amekubali Magufuli ameacha legacy kubwa nchini, sio kazi ya Magufuli kuilinda legacy hiyo ni sisi tuliobaki, shirika likifa ni viongozi waliopo kuwajibika, halafu kwa nini watanzania mnaombea makampuni yaliyo fufuliwa yafe? kwa nini msitoe mapendekezo ya nini kifanyike tupate faida? yaani wasomi wote tulionao hatuwezi kusimamia shirika? yaani hata tundu lissu hawezi? basi tuna wasomi hewa.