Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Arudi asirudi is none of our business, cha muhimu saa hii uzandiki wote ufahamike, ili wananchi waamke pindi wanapotawaliwa kwa mabavu na kutishiwa kujua ukweli, waweze kung'amua fullstop.
Mabavu is gone what are you talking about? muache Lissu now move on..
 
Lissu alisema Magufuli hakuacha chochote yaani within 5 yrs hakuna Alichofanya zaidi ya kuua na kuminya vyombo vya habari , leo katika maneno yake anasema Legacy ya Magufuli imeanza kusambaratika, kwahiyo amekubali Magufuli ameacha legacy kubwa nchini, sio kazi ya Magufuli kuilinda legacy hiyo ni sisi tuliobaki, shirika likifa ni viongozi waliopo kuwajibika, halafu kwa nini watanzania mnaombea makampuni yaliyo fufuliwa yafe? kwa nini msitoe mapendekezo ya nini kifanyike tupate faida? yaani wasomi wote tulionao hatuwezi kusimamia shirika? yaani hata tundu lissu hawezi? basi tuna wasomi hewa.
Serikali haijawahi kufanya biashara ikafanikiwa juwa Hilo.
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Kama povu limekutoka mkuu.

Wewe ni wale waliokuwa wanaimba mapambio wakati wengine wakihoji.
 
Kwaiyo unahalisha kwamba yeye akiiba ni halali wengine kosa?

Aki-iba fulani ambaye sio kiongozi, au akiiba jiwe wote ni uwizi, Je akiiba mtu anayepinga wizi?

Mtu anayetaka matajiri waishii kama maskini akijilimbikizia mali na kuweka vipaumbele anakotokea?

Kuiba ni kosa kwa wote kwa mujibu wa sheria, hakuna kigezo cha mwananchi wa kawaida au kiongozi!!!
Kila nikirudia kukusoma hata sikuelewi.
 
Wenzio wanajua tatizo ni Magufuli.
We jamaa nafikiri akili huna ila unajifanya mjuaji. Tatizo ni utawala wa Magufuli kuaminisha watu kila kitu kiko sawa kwa 100%. Wakati kuna madhaifu na ubadhirifu mkubwa.
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Mbona hayo madudu hamkuyasema? Mkabaki kusifia kila ujinga.
 
Acha upotoshaji, mwaka jana Magufuli alisema ATCL imeingiza faida ya 28b, sasa ww maelezo yako unayatoa wapi? Zama za kudanganya umma zimefikia mwisho.
Unabishana na expert?
 
Mataga nguvu zimewaishia..
Mkasirikieni rais Samia aliyeanza kufukua makaburi,au mnamuogopa mnaanza kumuattack Lisu!
 
CCM itaendelea kuwa madarakani siku zote
Kazi yenu Wapinzani itabaki kujadili yanayofanyika Serikali kila siku ila Ikulu NO!

Ni kweli na mpinzani anayetaka kukaa madarakani ataenda ccm, kwakuwa hata ccm ikikaa madarakani sio ccm wote wanafaidi. Rejea yaliyomkuta JK na genge la wahuni wenzake kipindi hiki cha mtawala dhalimu.
 
Eti bado walitaka kumuongezea Magufuli muda wa kuongoza,Mtu anatudanganya kwamba tunapata faida kumbe uongo mtupu,na bado hatujui yajayo
 
Jpm alikuwa mpigaji kuliko waliomtangulia.alifaulu kututisha ili tusiyajue mabaya yake.yakianikwa hapa mtaenda kupiga fimbo kaburi lake
 
Unabishana na expert?

Expert wa kweli kuhusu mambo ya ndege humu jukwaani ninayemuamini ni Barafu tu. Huyu mwingine ni tapeli. Mimi sio mtaalamu wa mambo ya ndege, ila kwa akili ya kawaida tu, shirika letu la ndege lilikuwa linajiendesha kwa hasara.

Mkuu juzi nilikwambia sisi wengine unafiki umegoma. Nakumbuka ww ndio ulikuwa unalazimisha Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa cdm zaidi ya 15yrs, sasa ile shaka yangu dhidi yako imekuwa bayana. I now know your real colour.
 
Jibuni hoja kwa hoja.

Kwa mfano, sema ATCL na TPA hakuna uozo uliolelewa kipindi cha Magufuli.

Issue ni uozo wa Magufuli. Tundu Lissu alishakubali kwamba kashindwa urais na hajatangaza kugombea tena, kwa hiyo, hiyo si hoja.
Kuna watu huwa wanaendeshwa na hisia sana kutizama mambo kwa uhalisia.

Watu hawajiulizi kwa nini mkaguzi wa hesabu za serikali alibadilishwa na kuwekwa mtu mpya?

Toka aingie ripoti zilionyesha mashirika haya haya yalikuwa na hati safi lakini kulikuwa na upotevu mkubwa wa pesa.
 
Back
Top Bottom