Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

CDM mmeshacheza ngoma ya CCM amin nawaambia kushika madaraka ya Nchi hii ni mpaka baada ya karne moja kupita
Tunataka haki na goodwlfare hata ikitawala ccm milele sio udikteta wa magufuli
 
Na ndiyo kaleta maendeleo kuliko hao wote!
Yaani hapo ndiyo utajua Lisu ni zaidi ya kilaza
Kama Magufuri alifeli basi na Samia alifeli maana ilikuwa ni serikali moja
Maendeleo gani hayo??
 
Wacha kujitesa man, you know nothing about me, absolutely nothing blv me, this is my private decision Lissu amenichosha, simple.

If you want to remove Mbowe huko CDM hata leo mkipenda just do it, ila sijui ndio mtamuweka huyu Lissu? jamaa ni mwanaharakati mno, hana busara.

Nilimtaka Mbowe aendelee simply bcoz ya busara zake na yote aliyopitia, amekomaa sana yule mtu, bado sioni wakumfikia pale CDM.
 
That’s why he will never ever be president.

Too infantile.
Lissu hajawahi kuwa na ndoto ya kuwa rais,ndoto yake ni kuona haki inasimama.

Ila yupo aliyetamani kutawala milele, msukuma mwenzio. NADHANI UNAFAHAMU YUKO WAPI SASA.
 
Sio malaika tu.
Yeye alisema anaweza kuongoza malaika.
Na mkapiga makofi.

Msijisahaulishe
 
Lissu hajawahi kuwa na ndoto ya kuwa rais,ndoto yake ni kuona haki inasimama.

Ila yupo aliyetamani kutawala milele, msukuma mwenzio. NADHANI UNAFAHAMU YUKO WAPI SASA.
Mara umesahau? Vipi ukubwa wa ubongo wako! Lissu aligombea kuwa rais miezi minne iliyopita! Utasemaje hajawahi kuwa na ndoto za kuwa rais? Sasa wewe utaaminika tena mbele za watu? Au ulikuwa umezirai kipindi hicho?
 
Nchi imetetemeka....

Masikini hawaelewi waendelee kulia au la!!?

Sasa mkienda kanda ya ziwa si mtakufa kabisa..
wachaga kwa nini mnachukia hivi watu wa kanda ya ziwa?

au wao waliumbwa kutopelekewa maendeleo?
 
Hakuna utetezi hapa.Sasa ndio Tutamjua yule mzalendo wenu, rais wa wanyonge na wizi wake na madudu yake.

Kwahiyo Wewe unamfundisha LISSU siasa.
 
Nchi imetetemeka....

Masikini hawaelewi waendelee kulia au la!!?

Sasa mkienda kanda ya ziwa si mtakufa kabisa..
Nakwambia hawaelewi waendelee kumwita Shujaa au wamwache aende zake?
 
Hakuna utetezi hapa.Sasa ndio Tutamjua yule mzalendo wenu, rais wa wanyonge na wizi wake na madudu yake.

Kwahiyo Wewe unamfundisha LISSU siasa.
Kiongozi wa Malaika.
Tunaendelea na hilo.
Wasituyumbishe
 
Nini tena mmeanza kuvuana mashati?
 
Wote waliopita walikuwa na Madudu ila pia hawakupenda kutukuzwa kama hayati
 
Huyo ni wa kupuuza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…