mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Tunataka haki na goodwlfare hata ikitawala ccm milele sio udikteta wa magufuliCDM mmeshacheza ngoma ya CCM amin nawaambia kushika madaraka ya Nchi hii ni mpaka baada ya karne moja kupita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka haki na goodwlfare hata ikitawala ccm milele sio udikteta wa magufuliCDM mmeshacheza ngoma ya CCM amin nawaambia kushika madaraka ya Nchi hii ni mpaka baada ya karne moja kupita
Maendeleo gani hayo??Na ndiyo kaleta maendeleo kuliko hao wote!
Yaani hapo ndiyo utajua Lisu ni zaidi ya kilaza
Kama Magufuri alifeli basi na Samia alifeli maana ilikuwa ni serikali moja
Wacha kujitesa man, you know nothing about me, absolutely nothing blv me, this is my private decision Lissu amenichosha, simple.Expert wa kweli kuhusu mambo ya ndege humu jukwaani ninayemuamini ni Barafu tu. Huyu mwingine ni tapeli. Mimi sio mtaalamu wa mambo ya ndege, ila kwa akili ya kawaida tu, shirika letu la ndege lilikuwa linajiendesha kwa hasara.
Mkuu juzi nilikwambia sisi wengine unafiki umegoma. Nakumbuka ww ndio ulikuwa unalazimisha Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa cdm zaidi ya 15yrs, sasa ile shaka yangu dhidi yako imekuwa bayana. I now know your real colour.
Yeye mwenyewe mwendazake alisrma akifa atakuwa kiranja wa malaikaMbona kama kunawatu wamepanick niwapi lissu amesema mwendazake alikua Malaika?
Lissu hajawahi kuwa na ndoto ya kuwa rais,ndoto yake ni kuona haki inasimama.That’s why he will never ever be president.
Too infantile.
Bado Lissu anagombana na hayati! Poor Lissu!Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzanianwengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.
Sio malaika tu.Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Mara umesahau? Vipi ukubwa wa ubongo wako! Lissu aligombea kuwa rais miezi minne iliyopita! Utasemaje hajawahi kuwa na ndoto za kuwa rais? Sasa wewe utaaminika tena mbele za watu? Au ulikuwa umezirai kipindi hicho?Lissu hajawahi kuwa na ndoto ya kuwa rais,ndoto yake ni kuona haki inasimama.
Ila yupo aliyetamani kutawala milele, msukuma mwenzio. NADHANI UNAFAHAMU YUKO WAPI SASA.
wachaga kwa nini mnachukia hivi watu wa kanda ya ziwa?Nchi imetetemeka....
Masikini hawaelewi waendelee kulia au la!!?
Sasa mkienda kanda ya ziwa si mtakufa kabisa..
Hakuna utetezi hapa.Sasa ndio Tutamjua yule mzalendo wenu, rais wa wanyonge na wizi wake na madudu yake.Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Lissu hajasema.Wapi kasema anadhani Magufuli alikuwa malaika?
Nakwambia hawaelewi waendelee kumwita Shujaa au wamwache aende zake?Nchi imetetemeka....
Masikini hawaelewi waendelee kulia au la!!?
Sasa mkienda kanda ya ziwa si mtakufa kabisa..
Hebu onyesha mapungufu ktk matamshi ya LISSU.anzia hapo.Tatizo la Lissu atolewe risasi iliyopo ubongoni.labda atajitambua
Kiongozi wa Malaika.Hakuna utetezi hapa.Sasa ndio Tutamjua yule mzalendo wenu, rais wa wanyonge na wizi wake na madudu yake.
Kwahiyo Wewe unamfundisha LISSU siasa.
Nini tena mmeanza kuvuana mashati?Expert wa kweli kuhusu mambo ya ndege humu jukwaani ninayemuamini ni Barafu tu. Huyu mwingine ni tapeli. Mimi sio mtaalamu wa mambo ya ndege, ila kwa akili ya kawaida tu, shirika letu la ndege lilikuwa linajiendesha kwa hasara.
Mkuu juzi nilikwambia sisi wengine unafiki umegoma. Nakumbuka ww ndio ulikuwa unalazimisha Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa cdm zaidi ya 15yrs, sasa ile shaka yangu dhidi yako imekuwa bayana. I now know your real colour.
Wote waliopita walikuwa na Madudu ila pia hawakupenda kutukuzwa kama hayatiLissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Huyo ni wa kupuuza tuLissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Cha ajabu amefariki KIONGOZI WA MALAIKAHivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
Mwenye umeme kwenye moyo kafa mwenye risasi anadundaTatizo la Lissu atolewe risasi iliyopo ubongoni.labda atajitambua