data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Pumbav kweliLissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.