Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Pumbav kweli
 
Mlituaminisha hivyo na hadi wengine bungeni wakalia hawaoni mwingine wa kuiendeleza nchi hii hivyo aongezewe muda kinyume na katiba.

Zote zina madhaifu yake, lkn huu wake ulijaaa kusifiwa,kujikweza na kutukuzwa kama yeye ni malaika kama unavyokataa Sasa kumuita. Aliitwa mtukutu na malaika aliyeshusha Sasa leo kazi zake zina dosari kubwa sana. Jiulize kwanini mama Samia hajataka kuficha hili?? Kuna ujumbe anautoa Kwetu na pia jiulize angekuwepo yeye hii ripot ingesomwa kama ilivyo Sasa???
Mimi mwenyewe nasubiria ripoti orijino hii imeeditiwa japo yenye kusema ukweli.
 
Mlituaminisha hivyo na hadi wengine bungeni wakalia hawaoni mwingine wa kuiendeleza nchi hii hivyo aongezewe muda kinyume na katiba.
Na wewe kweli ukaamini, basi una matatizo.
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Mataga mnajibu hoja kama mnaharisha hivi!
 
Back
Top Bottom