Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #121
Hoja kubwa ni kutoambiwa ukweli. Tulipaswa ndani ya miaka mitano tuambiwe ukweli kuna hasara.Tafuta shirika lilipata faida ndani ya miaka 5 basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja kubwa ni kutoambiwa ukweli. Tulipaswa ndani ya miaka mitano tuambiwe ukweli kuna hasara.Tafuta shirika lilipata faida ndani ya miaka 5 basi
Wee jinga miaka mitano iliyopita kulikuwa na COVID? Acheni ujinga mkue kiakili. Au akili zenu nazo zimeenda kaburini!Biashara yoyote inaweza pata hasara bwashee, hasara sio ufisadi, google shirika la ndege lililopata faida kipindi cha Covid-19
Wenzio wanajua tatizo ni Magufuli.TPA inajulikana miaka nenda miaka rudi ni shida. Halafu sasa inaanzia ngazi ya chini. Labda waifumue yote ndo mageuzi yatatokea. Na siku zote nasema alie juu kwenye ajira yoyote hata kama amenyooka job security is slim na easy target.
Kama magu aliweza kuwa rais basi na Lissu kuna siku atakua rais.That’s why he will never ever be president.
Too infantile.
Kumbe shida ni yawekwe wazi tu, then after that business as usual, nawaambia ukweli CCM itatutawala milele.
pZote zina madhaifu yake, lkn huu wake ulijaaa kusifiwa,kujikweza na kutukuzwa kama yeye ni malaika kama unavyokataa Sasa kumuita. Aliitwa mtukutu na malaika aliyeshusha Sasa leo kazi zake zina dosari kubwa sana. Jiulize kwanini mama Samia hajataka kuficha hili?? Kuna ujumbe anautoa Kwetu na pia jiulize angekuwepo yeye hii ripot ingesomwa kama ilivyo Sasa???
Wacha mikwara mbuzi, kwanza muulize atarudi lini bongo?You are too inferior to Lissu.
Keep quiet.
kama weweHivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
Wenzio wanajua tatizo ni Magufuli.
Mlo wangu naupata shambani sitaki lawama.Acha iwe hivyo na iwe business as usual kuliko kunyanyasana. Kwani hata ikitutawala milele ww utapoteza nini maana uhakika wa mlo wako huko ccm upo.
Watanzania wengi hawaelewi biashara ya ndege na wewe ukiwemo, biashara ya ndege ni wezeshi kwa sector nyingine, ndo mana Marekani toka ndege zigunduliwe pamoja zimekua hazitengenezi faida, serikali imekua ikiwapa ruzuku, kwanini? Kwasababu bila usafiri wa haraka wa ndege biashara na maisha kama tuyajuavyo wanarudi nyuma sana, hivi ni wezeshi kwa Maendeleo, mfano wa biashara hizi ni Umeme, mabwawa ya maji, reli, huduma za jamii kama maji, shule za serikali, hospital... hizi ni huduma zinazoongeza quality of life sio lazima serikali ipate faidaTunaambiwa hasara ya bil 60 ndani ya miaka 5. Hapa Covid inaingia vipi?
Wacha mikwara mbuzi, kwanza muulize atarudi lini bongo?
We mburula Ccm kuwa madarakani sio sababu ya wapinzani kuponda makosa yanayotokea. Umejipendekeza sana kwa JPM umepata nini?CCM itaendelea kuwa madarakani siku zote
Kazi yenu Wapinzani itabaki kujadili yanayofanyika Serikali kila siku ila Ikulu NO!
Itakutawala milele wewe utakayeishi milele.That's why nimesema kule juu Lissu is absolutely confused, CCM itatutawala milele.
Asante kwa elimu, huku tumeshaozeshwa kupinga pinga tu.Watanzania wengi hawaelewi biashara ya ndege na wewe ukiwemo, biashara ya ndege ni wezeshi kwa sector nyingine, ndo mana Marekani toka ndege zigunduliwe pamoja zimekua hazitengenezi faida, serikali imekua ikiwapa ruzuku, kwanini? Kwasababu bila usafiri wa haraka wa ndege biashara na maisha kama tuyajuavyo wanarudi nyuma sana, hivi ni wezeshi kwa Maendeleo, mfano wa biashara hizi ni Umeme, mabwawa ya maji, reli, huduma za jamii kama maji, shule za serikali, hospital... hizi ni huduma zinazoongeza quality of life sio lazima serikali ipate faida
Kwaiyo unahalisha kwamba yeye akiiba ni halali wengine kosa?Angeacha kila mtu ajiokotee unadhani ingekuwa hivyo?
Watanzania wengi hawaelewi biashara ya ndege na wewe ukiwemo, biashara ya ndege ni wezeshi kwa sector nyingine, ndo mana Marekani toka ndege zigunduliwe pamoja zimekua hazitengenezi faida, serikali imekua ikiwapa ruzuku, kwanini? Kwasababu bila usafiri wa haraka wa ndege biashara na maisha kama tuyajuavyo wanarudi nyuma sana, hivi ni wezeshi kwa Maendeleo, mfano wa biashara hizi ni Umeme, mabwawa ya maji, reli, huduma za jamii kama maji, shule za serikali, hospital... hizi ni huduma zinazoongeza quality of life sio lazima serikali ipate faida