Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Biashara yoyote inaweza pata hasara bwashee, hasara sio ufisadi, google shirika la ndege lililopata faida kipindi cha Covid-19
Wee jinga miaka mitano iliyopita kulikuwa na COVID? Acheni ujinga mkue kiakili. Au akili zenu nazo zimeenda kaburini!
 
Muda wa ku reveal mabaya ya utawala wa magufuli umefika ebu tuone kama watu watapepesa macho kufumbia uovu wake
 
TPA inajulikana miaka nenda miaka rudi ni shida. Halafu sasa inaanzia ngazi ya chini. Labda waifumue yote ndo mageuzi yatatokea. Na siku zote nasema alie juu kwenye ajira yoyote hata kama amenyooka job security is slim na easy target.
Wenzio wanajua tatizo ni Magufuli.
 
Kumbe shida ni yawekwe wazi tu, then after that business as usual, nawaambia ukweli CCM itatutawala milele.

Acha iwe hivyo na iwe business as usual kuliko kunyanyasana. Kwani hata ikitutawala milele ww utapoteza nini maana uhakika wa mlo wako huko ccm upo.
 
Zote zina madhaifu yake, lkn huu wake ulijaaa kusifiwa,kujikweza na kutukuzwa kama yeye ni malaika kama unavyokataa Sasa kumuita. Aliitwa mtukutu na malaika aliyeshusha Sasa leo kazi zake zina dosari kubwa sana. Jiulize kwanini mama Samia hajataka kuficha hili?? Kuna ujumbe anautoa Kwetu na pia jiulize angekuwepo yeye hii ripot ingesomwa kama ilivyo Sasa???
p
Pumba tu, sijui hata unaongea kitu gani mkuu. Unajieleza maelezo mengi yote nonsense, watu ambao hamjakwenda shule mna matatizo sana
 
Wenzio wanajua tatizo ni Magufuli.

Magufuli alisema amemaliza ufisadi, na hiyo ilikuwa ni sehemu ya yeye kunajisi uchaguzi maana kamaliza wizi. Sasa ukisema wanajua tatizo ni Magufuli unamaanisha nini?
 
Acha iwe hivyo na iwe business as usual kuliko kunyanyasana. Kwani hata ikitutawala milele ww utapoteza nini maana uhakika wa mlo wako huko ccm upo.
Mlo wangu naupata shambani sitaki lawama.
 
Tunaambiwa hasara ya bil 60 ndani ya miaka 5. Hapa Covid inaingia vipi?
Watanzania wengi hawaelewi biashara ya ndege na wewe ukiwemo, biashara ya ndege ni wezeshi kwa sector nyingine, ndo mana Marekani toka ndege zigunduliwe pamoja zimekua hazitengenezi faida, serikali imekua ikiwapa ruzuku, kwanini? Kwasababu bila usafiri wa haraka wa ndege biashara na maisha kama tuyajuavyo wanarudi nyuma sana, hivi ni wezeshi kwa Maendeleo, mfano wa biashara hizi ni Umeme, mabwawa ya maji, reli, huduma za jamii kama maji, shule za serikali, hospital... hizi ni huduma zinazoongeza quality of life sio lazima serikali ipate faida
 
Asante kwa elimu, huku tumeshaozeshwa kupinga pinga tu.
 
Angeacha kila mtu ajiokotee unadhani ingekuwa hivyo?
Kwaiyo unahalisha kwamba yeye akiiba ni halali wengine kosa?

Aki-iba fulani ambaye sio kiongozi, au akiiba jiwe wote ni uwizi, Je akiiba mtu anayepinga wizi?

Mtu anayetaka matajiri waishii kama maskini akijilimbikizia mali na kuweka vipaumbele anakotokea?

Kuiba ni kosa kwa wote kwa mujibu wa sheria, hakuna kigezo cha mwananchi wa kawaida au kiongozi!!!
 
Watanzania wengi hawaelewi biashara ya ndege na wewe ukiwemo, biashara ya ndege ni wezeshi kwa sector nyingine, ndo mana Marekani toka ndege zigunduliwe pamoja zimekua hazitengenezi faida, serikali imekua ikiwapa ruzuku, kwanini? Kwasababu bila usafiri wa haraka wa ndege biashara na maisha kama tuyajuavyo wanarudi nyuma sana, hivi ni wezeshi kwa Maendeleo, mfano wa biashara hizi ni Umeme, mabwawa ya maji, reli, huduma za jamii kama maji, shule za serikali, hospital... hizi ni huduma zinazoongeza quality of life sio lazima serikali ipate faida

Acha upotoshaji, mwaka jana Magufuli alisema ATCL imeingiza faida ya 28b, sasa ww maelezo yako unayatoa wapi? Zama za kudanganya umma zimefikia mwisho.
 
Back
Top Bottom