Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Tatizo ni mliokuwa mnasifia kupitiliza
 
Lissu alisema Magufuli hakuacha chochote yaani within 5 yrs hakuna Alichofanya zaidi ya kuua na kuminya vyombo vya habari , leo katika maneno yake anasema Legacy ya Magufuli imeanza kusambaratika, kwahiyo amekubali Magufuli ameacha legacy kubwa nchini, sio kazi ya Magufuli kuilinda legacy hiyo ni sisi tuliobaki, shirika likifa ni viongozi waliopo kuwajibika, halafu kwa nini watanzania mnaombea makampuni yaliyo fufuliwa yafe? kwa nini msitoe mapendekezo ya nini kifanyike tupate faida? yaani wasomi wote tulionao hatuwezi kusimamia shirika? yaani hata tundu lissu hawezi? basi tuna wasomi hewa.
Hata kuua ni legacy unazani ni masikhara
 
Siyo kwamba shirika life Ila ushindani uruhusiwe Ili mashirika yafanye kazi kwa ushindani yataleta tija na huduma nzuri, bei nzuri na siyo Kama sasa ambapo tunarudi zamani kupanda ndege ione ni kitu cha ajabu sana na tajiri sana, Kama viwanja vya ndege vinaboreshwa basi na ndege ziwe nyingi zizunguke mikoa yote na hata wilaya Kama mabasi Ili kupanda ndege na kuwahi unapokwenda liwe Jambo la kawaida.
 
Jiwe ni msanii tu hana usafi wowote ngoja yaanze wekwa wazi maovu yake.
Kama alikuwa ni msafi kwann aogope uhuru wa habari?
 
Lissu alisema Magufuli hakuacha chochote yaani within 5 yrs hakuna Alichofanya zaidi ya kuua na kuminya vyombo vya habari , leo katika maneno yake anasema Legacy ya Magufuli imeanza kusambaratika, kwahiyo amekubali Magufuli ameacha legacy kubwa nchini, sio kazi ya Magufuli kuilinda legacy hiyo ni sisi tuliobaki, shirika likifa ni viongozi waliopo kuwajibika, halafu kwa nini watanzania mnaombea makampuni yaliyo fufuliwa yafe? kwa nini msitoe mapendekezo ya nini kifanyike tupate faida? yaani wasomi wote tulionao hatuwezi kusimamia shirika? yaani hata tundu lissu hawezi? basi tuna wasomi hewa.
Legacy nayo inaweza kuwa uozo
 
Bad enough kuna watu walitaka kumpa nchi milele😬😬😬
Mtu anaishi ikulu tatu.
Ukuta tu wa nyumbani kwake gari zimetembea kilometa na tumeonyeshwa upande tu walificha tuonyesha kwake.ukuta tu unajenga nyumba 60 za wanyonge,then mtu anasema mtetezi wa wanyonge.
 
TPA inajulikana miaka nenda miaka rudi ni shida. Halafu sasa inaanzia ngazi ya chini. Labda waifumue yote ndo mageuzi yatatokea. Na siku zote nasema alie juu kwenye ajira yoyote hata kama amenyooka job security is slim na easy target.
[emoji3][emoji3][emoji3]yaan eti mkurugenzi ndio asimamishwe.....ndio maana nimesema recommendation is not a must thing. Unapokuwa boss wa juu unalazmika kubeba kila Jambo baya linalofanywa na watu wako......mengne yanakuwa nje ya uwezo wako. Nadhan aliyempa nafasi hiyo alikuwa na taarifa kuwa jamaa hana shida ndio maana akaachana na recommendation ya CAG.
 
Lissu alisema Magufuli hakuacha chochote yaani within 5 yrs hakuna Alichofanya zaidi ya kuua na kuminya vyombo vya habari , leo katika maneno yake anasema Legacy ya Magufuli imeanza kusambaratika, kwahiyo amekubali Magufuli ameacha legacy kubwa nchini, sio kazi ya Magufuli kuilinda legacy hiyo ni sisi tuliobaki, shirika likifa ni viongozi waliopo kuwajibika, halafu kwa nini watanzania mnaombea makampuni yaliyo fufuliwa yafe? kwa nini msitoe mapendekezo ya nini kifanyike tupate faida? yaani wasomi wote tulionao hatuwezi kusimamia shirika? yaani hata tundu lissu hawezi? basi tuna wasomi hewa.
Ameandika "legacy".
 
ufisadi sio kuiba pesa za umma tu. hata kutumia vibaya Kodi na rasilimali za umma ni ufisadi, kwa akili ndogo tu unaweza kujenga ikulu nyingine ya bilioni 500 na ushehe huku wanafunzi wanakosa vyoo na madarasa?
 
Dreamliner moja iliyopaki ni sawa na matreka elf 10 mapya na vifaa vyake tena kwa cash, Kama ni kwa mkopo unapata trekta elf 50 za horse power 75.Trekta moja ulima heka 25 kwa siku kwa speed ya kivivu. Trekta moja utoa ajira kwa vijana 100.
So badala ya dreamliner moja iliyopaki kutoa ajira kwa watu 30 zingekuwa ni trekta zingetoa ajira milioni 5 za moja kwa moja achilia wategemezi wao.Ajira zote zilizonunulia ndege zingenunua trekta laki moja ambazo zingetoa ajira milioni 12 nchi nzima.Ndege ugusa wachache,kilimo ugusa wote.Kama Malaysia waliwekeza kwenye michikichi tu ndo wanailisha dunia mafuta ya kula na bado awajalijaza soko. Soko la mazao ya kilimo duniani ni kubwa hata KILA mtu alime tza hatutoweza kulijaza.Hela zilizotupwa kwenye ndege tilioni moja tungepata matreka laki 2 yangeajiri vijana milioni 12 zingemaliza tatizo la ajira nchini kwa kuwekeza kwenye kilimo mkakati na zingesharudi ndani ya miaka 3 tungepata pesa tosha za kigeni kukamilisha miradi yote bila kutegemea kukopa.Kupitia kilimo tu tungekuwa uchumi wa kati.Kama wakoloni wao waliweza maliza tatizo la ajira nchini why tunashindwa?Tangu Uhuru bado atujapata kiongozi sahihi mwenye uchungu anaeguswa na ugumu wa maisha ya watz,zaidi ya kuyafanya maisha yazidi kuwa magumu.Kwann watumishi wasipewe misamaha ya Kodi Ili wajinunulie magari binafsi kuliko kuwa na utitiri wa magari ya serikali ambayo hayazalishi,hayana faida ni hasara kwa mlipa Kodi V8 moja tu ni sawa na matrekta 10 mapya na jembe zake hapo ni sawa na ajira elf 1.
Tuendelee tu kuwalaumu mabeberu juu ya kushindwa kwetu aliyetupa Mali alitunyima akili. Chagua ccm chagua maendeleo chagua mitano tena ikiisha mitano tena jiandae kwa kumi tena.
 
Miaka na miaka, wengine tumepiga kelele wee hadi sauti zimekauka na tumelia wee hadi machozi yamekauka...adui wa taifa hili ni CCM.
Itikadi yao ni unafiki, Sera yao ni uongo, Sifa yao ni wizi, uwezo wao hauna mpaka kwani Silaha yao ya maangamizi ni vyombo vya dola...
Uhodari wao ni zao la ukondoo wetu, ujasiri wao ni zao la uoga wetu na usitawi wao ni zao la ujinga wetu...
Wanakaa chini na kupanga namna ya kuhujumu taifa lakini wanaotekwa, kuteswa na kuuawa ni raia wanaotetea haki yao ya kuishi.
Gari likienda mrama ni raia wasio na hatia ambao hawajawahi hata kushika usukani, ndio wanatolewa sadaka...
Ningeweza kuendelea ila nitaachia hapa nifute kwanza machozi...
 
Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzanianwengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.

Kwanza sina imani na report ya CAG! Naye achinguzwr! Pili huyo tundu hatapata anachotamani kuchafuliwa ,legacy' ya Magu! Hiyo report ingemfikia Magu akiwa hai wengi wangetumbuliwa on the spot! Hivyo mtubakivuruga Magu hakuwa na ajizi!
Mama SSH naamini ataendelea kutumbu hao wote wasioenda na kasi ya hapa kazi tu! Magu alifanya kwa kiasi chake ila baadhi ya wateule hawakutaka kubadirika ndio maana hata yy Magu alisema hao wezi na wala rushwa bado wapo na kazi ya utumbuaji ni endelevu!
Sasa mapoyoyo kama tundu wanatafuta chochote watakachoshika ili wamchafue asiyechafuliwa🤣😂🤣!
Tupo na Magufuli wetu no matter what, he'll always be our hero! Rest peaceful eterally our genuine hero Magufuli!
 
Jiwe alianzisha miradi mingi mipya na kuacha ya zamani hazikuwa na 10,%.
Ukiwa msafi huwezi weka ndugu yako kwenye pesa, huwezi zuia uhuru wa habari, huwezi mfukuza Assad.Huwezi zuia vyama vingi.
 
Back
Top Bottom