Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #181
Unafahamu umuhimu wa auditing?Kumbe shida ni yawekwe wazi tu, then after that business as usual, nawaambia ukweli CCM itatutawala milele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafahamu umuhimu wa auditing?Kumbe shida ni yawekwe wazi tu, then after that business as usual, nawaambia ukweli CCM itatutawala milele.
NAOGOPA MZEE ANAWEZA PIGA CHAFYA MLE ALIKO LALAUkweli mchungu!
Tatizo ni mliokuwa mnasifia kupitilizaLissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Then you will always be the president... aaahThat’s why he will never ever be president.
Too infantile.
Hata kuua ni legacy unazani ni masikharaLissu alisema Magufuli hakuacha chochote yaani within 5 yrs hakuna Alichofanya zaidi ya kuua na kuminya vyombo vya habari , leo katika maneno yake anasema Legacy ya Magufuli imeanza kusambaratika, kwahiyo amekubali Magufuli ameacha legacy kubwa nchini, sio kazi ya Magufuli kuilinda legacy hiyo ni sisi tuliobaki, shirika likifa ni viongozi waliopo kuwajibika, halafu kwa nini watanzania mnaombea makampuni yaliyo fufuliwa yafe? kwa nini msitoe mapendekezo ya nini kifanyike tupate faida? yaani wasomi wote tulionao hatuwezi kusimamia shirika? yaani hata tundu lissu hawezi? basi tuna wasomi hewa.
Siyo kwamba shirika life Ila ushindani uruhusiwe Ili mashirika yafanye kazi kwa ushindani yataleta tija na huduma nzuri, bei nzuri na siyo Kama sasa ambapo tunarudi zamani kupanda ndege ione ni kitu cha ajabu sana na tajiri sana, Kama viwanja vya ndege vinaboreshwa basi na ndege ziwe nyingi zizunguke mikoa yote na hata wilaya Kama mabasi Ili kupanda ndege na kuwahi unapokwenda liwe Jambo la kawaida.Lissu alisema Magufuli hakuacha chochote yaani within 5 yrs hakuna Alichofanya zaidi ya kuua na kuminya vyombo vya habari , leo katika maneno yake anasema Legacy ya Magufuli imeanza kusambaratika, kwahiyo amekubali Magufuli ameacha legacy kubwa nchini, sio kazi ya Magufuli kuilinda legacy hiyo ni sisi tuliobaki, shirika likifa ni viongozi waliopo kuwajibika, halafu kwa nini watanzania mnaombea makampuni yaliyo fufuliwa yafe? kwa nini msitoe mapendekezo ya nini kifanyike tupate faida? yaani wasomi wote tulionao hatuwezi kusimamia shirika? yaani hata tundu lissu hawezi? basi tuna wasomi hewa.
Legacy nayo inaweza kuwa uozoLissu alisema Magufuli hakuacha chochote yaani within 5 yrs hakuna Alichofanya zaidi ya kuua na kuminya vyombo vya habari , leo katika maneno yake anasema Legacy ya Magufuli imeanza kusambaratika, kwahiyo amekubali Magufuli ameacha legacy kubwa nchini, sio kazi ya Magufuli kuilinda legacy hiyo ni sisi tuliobaki, shirika likifa ni viongozi waliopo kuwajibika, halafu kwa nini watanzania mnaombea makampuni yaliyo fufuliwa yafe? kwa nini msitoe mapendekezo ya nini kifanyike tupate faida? yaani wasomi wote tulionao hatuwezi kusimamia shirika? yaani hata tundu lissu hawezi? basi tuna wasomi hewa.
Ulizaneni huko bahna... Si hatujui kitu. Tunajadili taarifa tu ya CAG...Kwani ATCL si inajiendesha?
Raisi anahusika nini na hasara, au kosa lake ni kufufua shirika?
Kipindi yupo alilazisha kusema shilika lina faidaKwani ATCL si inajiendesha?
Raisi anahusika nini na hasara, au kosa lake ni kufufua shirika?
Mtu anaishi ikulu tatu.Bad enough kuna watu walitaka kumpa nchi milele😬😬😬
Member Since: 28/01/2021Hivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
[emoji3][emoji3][emoji3]yaan eti mkurugenzi ndio asimamishwe.....ndio maana nimesema recommendation is not a must thing. Unapokuwa boss wa juu unalazmika kubeba kila Jambo baya linalofanywa na watu wako......mengne yanakuwa nje ya uwezo wako. Nadhan aliyempa nafasi hiyo alikuwa na taarifa kuwa jamaa hana shida ndio maana akaachana na recommendation ya CAG.TPA inajulikana miaka nenda miaka rudi ni shida. Halafu sasa inaanzia ngazi ya chini. Labda waifumue yote ndo mageuzi yatatokea. Na siku zote nasema alie juu kwenye ajira yoyote hata kama amenyooka job security is slim na easy target.
Ameandika "legacy".Lissu alisema Magufuli hakuacha chochote yaani within 5 yrs hakuna Alichofanya zaidi ya kuua na kuminya vyombo vya habari , leo katika maneno yake anasema Legacy ya Magufuli imeanza kusambaratika, kwahiyo amekubali Magufuli ameacha legacy kubwa nchini, sio kazi ya Magufuli kuilinda legacy hiyo ni sisi tuliobaki, shirika likifa ni viongozi waliopo kuwajibika, halafu kwa nini watanzania mnaombea makampuni yaliyo fufuliwa yafe? kwa nini msitoe mapendekezo ya nini kifanyike tupate faida? yaani wasomi wote tulionao hatuwezi kusimamia shirika? yaani hata tundu lissu hawezi? basi tuna wasomi hewa.
Kwanza sina imani na report ya CAG! Naye achinguzwr! Pili huyo tundu hatapata anachotamani kuchafuliwa ,legacy' ya Magu! Hiyo report ingemfikia Magu akiwa hai wengi wangetumbuliwa on the spot! Hivyo mtubakivuruga Magu hakuwa na ajizi!Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzanianwengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.