Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Sijui kama watakusoma wakuelewe hao walioshikiwa akili na Lissu, since 2018 anampigia kelele Magufuli mpaka leo 2021 Magufuli is no more still bado anapayuka tu, hawezi kuwa mzima huyu mtu!
Mkuu tunatambua kuwa Lissu alipata madhila makubwa sana toka utawala wa Jiwe. Mtu asidhani kama tunapuuza yaliyomfika. Ni muujiza tu umemrejesha duniani akiwa na akili zake timamu na ujasiri aliokuwa nao. Ana uelewa mkubwa wa kitaaluma na uzoefu mkubwa wa katiba, sheria na siasa za Tanzania. LAKINI ana jazba kama alizokuwa nazo Hayati. Hatulii na kuona mambo muhimu ya msingi ya kusimamia kitaifa. Bado anashabikia mipasho isiyo na tija.

Angetufaa sana angeamua kubeba dhamana KUU ya kuisaidia nchi kujijenga upya kwa mifumo na michakato makini ya kisiasa, kitaasisi, kiuongozi, kiuchumi na kijamii. Zile risasi 36 alizo"survive" ni mhanga tosha wa kufanya asikilizwe na kutiliwa maanani akiongea mambo yenye "substance" kwa taifa. Jiwe tayari kawa historia tusiyopenda kuirudia. Hatuhitaji mipasho kumhusu Jiwe wakati huu. He needs to assume statesmanship or end up irrelevant.
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Mlisema mitano tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu ni kama he's given up kabisa hatokua kiongozi mkuu wa nchi hii... ameamua awe kama kina maria sarungi yaani activist... why so rude with the deceased?? So immature...
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Inshu sio kuwa alikuwa/hakuwa maraika lakini mbona aliwaaminisha watu kuwa ktk utawala wake kila kitu kilikuwa kikienda sawa?!!hilo suala la ndege toka zinanunuliwa, watu walipiga kelele sana, lakini bado hakusikia, na aliendelea kuwaaminisha watu kuwa zilikuwa zinaleta faida hadi kufikia hatua ya kutoa gawiwo, alikuwa anayafanya hayo kwa manufaa ya nani?kuhusu bandari tuliandika mengi sana, kuwa upigaji upo lakini waliokuwa wakiondolewa ni watendaji wa chini tu!!ukionankiongozi anakimbilia kuongoza kwa siri siri jua kuna upigaji mkubwa sana!!ni suala la muda tu lakini huyo shujaa wenu mnamkimbiaaa!!
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Lakini magufuli alikuwa mbabe kweli,niliwahi kupata tetesi sina uhakika kama ni kweli kuwa ile uwanja Wa chato Wa ndege ilikuwa ni bajeti iliyotolewa na serikali ujengwe Serengeti kwa ajili ya kukuza utalii ukanda huo,ye akaukwapua huo mradi akapeleka chato.

Hata hayo madege yamenunuliwa na MTU mmoja so wananchi hatujui tumepigwa kiasi gani,hatujawekwa Wazi .
 
Mkuu tunatambua kuwa Lissu alipata madhila makubwa sana toka utawala wa Jiwe. Mtu asidhani kama tunapuuza yaliyomfika. Ni muujiza tu umemrejesha duniani akiwa na akili zake timamu na ujasiri aliokuwa nao. Ana uelewa mkubwa wa kitaaluma na uzoefu mkubwa wa katiba, sheria na siasa za Tanzania. LAKINI ana jazba kama alizokuwa nazo Hayati. Hatulii na kuona mambo muhimu ya msingi ya kusimamia kitaifa. Bado anashabikia mipasho isiyo na tija.

Angetufaa sana angeamua kubeba dhamana KUU ya kuisaidia nchi kujijenga upya kwa mifumo na michakato makini ya kisiasa, kitaasisi, kiuongozi, kiuchumi na kijamii. Zile risasi 36 alizo"survive" ni mhanga tosha wa kufanya asikilizwe na kutiliwa maanani akiongea mambo yenye "substance" kwa taifa. Jiwe tayari kawa historia tusiyopenda kuirudia. Hatuhitaji mipasho kumhusu Jiwe wakati huu. He needs to assume statesmanship or end up irrelevant.
Sijawahi disregard kile alichofanyiwa na nilikilaani sana kitendo kile wakati ule.

Tatizo nimekuja kuona Lissu hataki ku move on, na anachofanya yeye na mashabiki wengine wote wa Chadema wanamfuata nyuma, anatakiwa kwasasa kubadilisha aina za siasa zake aendane na huyu kiongozi mpya wa taifa letu.

Vinginevyo anapoteza muda mwingi ku stick na past matokeo yake leo tunaona wote wanashangilia hii move ya kwanza tu ya Rais mpya, come next time akipewa hiyo ripoti ya bank kuu akafanya tena kama leo atawachota wangapi?

Lissu alikuwa na nafasi kubwa kuiwahi hii attention anayopewa Rais mpya sasa hivi kama angekuwa na busara kidogo tu, matokeo yake kabaki na Magufuli huku tayari tuna mtawala mpya, they need to come up with a new mission ASAP, ionekanavyo huyu mama kesha score marks za kutosha mpk sasa.
 
Lakini magufuli alikuwa mbabe kweli,niliwahi kupata tetesi sina uhakika kama ni kweli kuwa ile uwanja Wa chato Wa ndege ilikuwa ni bajeti iliyotolewa na serikali ujengwe Serengeti kwa ajili ya kukuza utalii ukanda huo,ye akaukwapua huo mradi akapeleka chato.

Hata hayo madege yamenunuliwa na MTU mmoja so wananchi hatujui tumepigwa kiasi gani,hatujawekwa Wazi .
Sina hakika na hili may be yes/no.
 
Lissu ni kama he's given up kabisa hatokua kiongozi mkuu wa nchi hii... ameamua awe kama kina maria sarungi yaani activist... why so rude with the deceased?? So immature...
Inshu sio kumsema vibaya marehemu, lakini ukweli lazima usemwe!!na hata akirudi leo bado ana wafuasi wengi sana, mbona licha ya kumuita majina mabaya vile, kuwa ni msaliti lakini amerudi kwenye uchaguzi na kushindana na MZALENDO, hamkuamini kuona nyomi ile licha ya kutumia nguvu nyingi kumkwamisha??sasa ndio kipindi mtaona picha halisi ya wananchi, mlikuwa mnawaburuza kwa lazima tu!!jiandaeni vyeo vya brigedia meko, vitavuliwa hadi kubakia mgambo wa soko!!!yaani yaliyomkuta yote yale leo unasema eti hana utu na marehemu??
 
Sijawahi disregard kile alichofanyiwa na nilikilaani sana kitendo kile wakati ule.

Tatizo nimekuja kuona Lissu hataki ku move on, na anachofanya yeye na mashabiki wengine wote wa Chadema wanamfuata nyuma, anatakiwa kwasasa kubadilisha aina za siasa zake aendane na huyu kiongozi mpya wa taifa letu.

Vinginevyo anapoteza muda mwingi ku stick na past matokeo yake leo tunaona wote wanashangilia hii move ya kwanza tu ya Rais mpya, come next time akipewa hiyo ripoti ya bank kuu akafanya tena kama leo atawachota wangapi?

Lissu alikuwa na nafasi kubwa kuiwahi hii attention anayopewa Rais mpya sasa hivi, matokeo yake kabaki na Magufuli huku tayari tuna mtawala mpya, they need to come up with a new mission, ionekanavyo huyu mama kesha score marks za kutosha mpk sasa.
Lissu amesema hataki kuingia kwenye ukurasa mpya?

Lissu anachowakumbusha watanzania ni kuwa hakukuwa na ukweli juu ya hasara ambayo Hayati JPM hakuiweka wazi hasa juu ya Atcl. Na hii ni sababu itayofanya legacy yake isambaratile. Unashindwa nini kuelewa.
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Mbona umemjibu Kwa kutumia maneno laini sana!! Mwezi mmoja uliopita haukuwa na majibu laini kias hiki dhidi ya hoja za Lissu.
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Nyie vibaraka si ndiyo mlikuwa hamtaki yasemwe
 
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Lakini hajasema kwamba hiyo ndiyo ajenda.

Haya kayaongelea sasa, kwa sababu ndiyo yaliyopo sasa.

Inakuwaje wewe uone kuwa ndiyo ajenda pekee?

Kwa hiyo kwa vile madudu yalikuwepo hata kwenye awamu nyingine, hiyo ndiyo iwe sababu ya kutoibua madudu yaliyofanyika chini ya Magufuli?

Mbona 'reasoning' ya ajabu hii!
 
Wacha kujitesa man, you know nothing about me, absolutely nothing blv me, this is my private decision Lissu amenichosha, simple.

If you want to remove Mbowe huko CDM hata leo mkipenda just do it, ila sijui ndio mtamuweka huyu Lissu? jamaa ni mwanaharakati mno, hana busara.

Nilimtaka Mbowe aendelee simply bcoz ya busara zake na yote aliyopitia, amekomaa sana yule mtu, bado sioni wakumfikia pale CDM.
Pitia post yangu uliyoniquote kama nimemtaja Lisu popote, ni aidha umepanick au unajishuku. Kuhusu Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti zaidi ya miaka 15, suala sio kuwa matured maana alikuwa hagombei na Lisu.

Hilo la kwamba Lisu ni mwanaharakati ni tafsiri ya huko ccm, na hii tulilisikia hata Slaa alipokuwa mwiba kwa ccm kuwa ni mwanaharakati. Alipotoka cdm akawa anamwagiwa sifa kuwa alikuwa mpinzani wa kweli! Linapokuja suala la busara sioni kama ni tatizo, maana kama Magufuli alikuwa hana busara na Kawa rais, sijui utaniambia nini. Hakuna anayemfikia Mbowe? Au ni kwakuwa huwa anawakubalia ccm porojo zao kirahisi? Nasema hivi, unafiki huwa una mwisho wake. Ww tapika propaganda zako mfu za ccm lakini nimekufahamu vizuri, hutaki kunywa sumu ufe fullstop.
 
Back
Top Bottom