OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
angeongezewa muda,hazina ingeachwa na 3000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I’m ubiquitous, nigga.Wewe upo Marekani, huna hata kura moja! Hivyo uwezo wa kumfanya awe au asiwe rais ni mdogo Sana. Mtakatifu wenu kumbe alikuwa mwizi??
Mimi siyo mtunza daftari wa ATCL.Acha hizo tuambie ATCL hakuna hasara,usihamishe magoli badala ya kujadili hoja unakimbilia kumshambulia mleta hoja.
Haya kuna mwenzenu wameshanyofoa pale Bandari Mataga Safari hii mtataga sana.
Huh??He jus an wrestle bwower
Big up mwamba endelea kuwapa hao jamaa makavu wamezoea unafiki na mihemkoHunifahamu, leo ndio nasimama kwa ajili ya marehemu, sikuwahi kumtetea mwanzo nilikuwa na Lissu, mpaka nilivyogundua Lissu ana tatizo la ubongo ndio nimemuacha akatibiwe kwanza.
Frankly, kwa akili yako unaweza kumuona Lissu kwamba ana akili ya maana?
Huwa naanzia kwenye umri wake na unyoaji alionao kwa sasa na elimu yake ya sheria. Nani wa umri wake nchi hii anayenyoa vile kwa kuiga, muda mfupi tu aliokaa Ubelgiji.
Waliambiwa wataishi kishetani kwani kosa lao ni nn ni kuwa matajiri.KIla mtu awajibike. Wafanyabiashara pia waondoe akili ya wizi na upuuzi wanaouita ujanja. Tuna bussiness community ya watu failures, wanaowinda kuibia serikali kila leo.
Yaani Lisu aache ajira arudi TZ kwani hana akili. Akirudi kwa ndoto zake ni kuingia Ikulu less than that ataendelea na ajira yake akitegemea kuna siku sheria ya madini itabadilishwa makanikia yasafirishwe nje kwa waajiri wakeLisu ana hasira sana!
Mwambieni arudi maana mbaya wake kaondoka
angeongezewa muda,hazina ingeachwa na 3000/=
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ikulu ataisikia kupitia kwa kigogoYaani Lisu aache ajira arudi TZ kwani hana akili. Akirudi kwa ndoto zake ni kuingia Ikulu less than that ataendelea na ajira yake akitegemea kuna siku sheria ya madini itabadilishwa makanikia yasafirishwe nje kwa waajiri wake
Kumbe zilikua mbwembwe tu za jiwe kwingine alikua hagusiKupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzanianwengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.
That’s why he will never ever be president.
Too infantile.
Anafanya ushabiki wa mihemkoMara umesahau? Vipi ukubwa wa ubongo wako! Lissu aligombea kuwa rais miezi minne iliyopita! Utasemaje hajawahi kuwa na ndoto za kuwa rais? Sasa wewe utaaminika tena mbele za watu? Au ulikuwa umezirai kipindi hicho?
Jiwe alijiona yeye ni msafi kuriko watangulizi wake,aliua mashirika mengine ya Ndege Ili ATCL,ikue lakini wapi,akaambiwa Hili shirika halina kitu,hakusikia,tukawa tunaona eti mashirika yanatoa gawio kwa serikali,kumbe wanaogopa kusema ukweli,Ili wasipoteze ajira,sasa tutaujua ukweli,safi mama,nenda hata TTCL,hakuna kitu kule,posta na simu,futa kabisa,kumejaa vibibi tu,havijuhi kitu,bado vinamawazo ya miaka ya 90Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Malaika yuko wapi kama Lisu ni shetaniHivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
Malaika yuko wapi kama Lisu ni shetaniHivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
My fellow learned friend, avoid misusing grammatical terminologies. The man in question, might be bigger than the whole! I will call you tomorrowThat’s why he will never ever be president.
Too infantile.