Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Acha hizo tuambie ATCL hakuna hasara,usihamishe magoli badala ya kujadili hoja unakimbilia kumshambulia mleta hoja.

Haya kuna mwenzenu wameshanyofoa pale Bandari Mataga Safari hii mtataga sana.
Mimi siyo mtunza daftari wa ATCL.
 
Hunifahamu, leo ndio nasimama kwa ajili ya marehemu, sikuwahi kumtetea mwanzo nilikuwa na Lissu, mpaka nilivyogundua Lissu ana tatizo la ubongo ndio nimemuacha akatibiwe kwanza.
Big up mwamba endelea kuwapa hao jamaa makavu wamezoea unafiki na mihemko
 
Hv ww unazo hzo akil????
Frankly, kwa akili yako unaweza kumuona Lissu kwamba ana akili ya maana?
Huwa naanzia kwenye umri wake na unyoaji alionao kwa sasa na elimu yake ya sheria. Nani wa umri wake nchi hii anayenyoa vile kwa kuiga, muda mfupi tu aliokaa Ubelgiji.
 
KIla mtu awajibike. Wafanyabiashara pia waondoe akili ya wizi na upuuzi wanaouita ujanja. Tuna bussiness community ya watu failures, wanaowinda kuibia serikali kila leo.
Waliambiwa wataishi kishetani kwani kosa lao ni nn ni kuwa matajiri.
 
Kinacho ongelewa ni hasara ya 60b na sii upotevu... Elimu ya biashara inatakiwa.... Hasara inaweza kutokea kwa mambo mengi... Ikiwemo uncontrollable occurrences like pandemic ambapo kuna contract fulani hazikutekelezeka na mlisha ingia gharama nk.

Kwa hali tuliyopitia ya kusimamisha safari, expansion ya shirika, ulipaji wa mishahara na mikopo ya shirika ambayo haikusimama vyote ni visababishi vya hasara. Sitegemei kuanza ku generate faida walau kwa miaka miwili mfululizo... Then tunaweza kuongea mengine.

Shirika litasimama na wote tutapongeza. Kujaribu kuponda kisiasa hakutabadili chochote kiutendaji. Zaidi ya kuonyesha ujinga wetu.
 
Lisu ana hasira sana!

Mwambieni arudi maana mbaya wake kaondoka
Yaani Lisu aache ajira arudi TZ kwani hana akili. Akirudi kwa ndoto zake ni kuingia Ikulu less than that ataendelea na ajira yake akitegemea kuna siku sheria ya madini itabadilishwa makanikia yasafirishwe nje kwa waajiri wake
 
Yaani Lisu aache ajira arudi TZ kwani hana akili. Akirudi kwa ndoto zake ni kuingia Ikulu less than that ataendelea na ajira yake akitegemea kuna siku sheria ya madini itabadilishwa makanikia yasafirishwe nje kwa waajiri wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ikulu ataisikia kupitia kwa kigogo
 
Mara umesahau? Vipi ukubwa wa ubongo wako! Lissu aligombea kuwa rais miezi minne iliyopita! Utasemaje hajawahi kuwa na ndoto za kuwa rais? Sasa wewe utaaminika tena mbele za watu? Au ulikuwa umezirai kipindi hicho?
Anafanya ushabiki wa mihemko
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Jiwe alijiona yeye ni msafi kuriko watangulizi wake,aliua mashirika mengine ya Ndege Ili ATCL,ikue lakini wapi,akaambiwa Hili shirika halina kitu,hakusikia,tukawa tunaona eti mashirika yanatoa gawio kwa serikali,kumbe wanaogopa kusema ukweli,Ili wasipoteze ajira,sasa tutaujua ukweli,safi mama,nenda hata TTCL,hakuna kitu kule,posta na simu,futa kabisa,kumejaa vibibi tu,havijuhi kitu,bado vinamawazo ya miaka ya 90
 
Lissu simply kasema anamwomba Mama Samia aruhusu uchunguzi huru ufanyike kwenye miradi yote mikubwa iliyotekelezwa na inayoendelea ili kubaini usafi wake...

Sasa timu chato mbona mmekuja juu - tatizo nini hapa? Kosa la Lissu ni lipi hapo?
 
Back
Top Bottom