Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amechambua mashitaka yaliyosomwa Mahakamani yanayomkabili Mwenyekiti wake Freeman Mbowe , huku akiyaita duni , mepesi na ya UONGO.
View attachment 1906115
Amedai ana uzoefu wa kutosha kwenye kesi za uzushi na uongo kama hii kutokana na kazi yake ya Uanasheria aliyoifanya kwa miaka mingi , ameahidi kushinda kesi hiyo ya kutunga mapema asubuhi .
Hebu msikilize mwenyewe ufaidi uhondo .
"Wakiifuta tunao. Wakiiacha tunao. Wakiifungua upya tunao."
Kwamba,
"Wakimung'unya nchale, wakimeja nchale!"
Hiiiiii bagosha!