Tundu Lissu: Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe ni mepesi kuliko pamba, awaponda Waendesha Mashtaka


"Wakiifuta tunao. Wakiiacha tunao. Wakiifungua upya tunao."

Kwamba,

"Wakimung'unya nchale, wakimeja nchale!"

Hiiiiii bagosha!
 
7
Lisu yeye kakimbia kesi bado anaona zawenzake nyepesi, Lisu ni mwoga sana

USSR
Jinga Sana vevee mmemshindwa kwa hoja mahakamani na bungeni mkakimbilia ugaidi shwain
kwahiyo Mandela,Dakota nk. walivyokimbia kujipanga nao walikuwa waoga? Wewe ni jasiri walipi haswa? Au ujinga nahuku kujambajamba kwako hadharani ...idiot!!
 
hujui kitu wewe, kwenye judiciary inayofanya kazi vizuri, hii si kesi hata kidogo. Sema kwa vile majaji wanapokea magizo anything can come out... ukiipeleka Kenya wanaifukuza nakwambia.
Pamoja na judiciary kutokuwa huru kwa mashtaka haya watu hawawezi kutiwa hatiani.
 
Wahuni wa CCM wanachojua ni Kuiba kura na kubambikizia watu kesi za kipuuzi tuu, nchi kubwa maliasili kibao lakini maskini kama Burundi na hata Rwanda wanatushinda aibu sana hii
 
Lissu yeye kakimbia kesi bado anaona zawenzake nyepesi, Lisu ni mwoga sana

USSR
Kuna wakati CHADEMA ilishitakiwa na Zitto. CHADEMA iliwakilishwa na jopo la mawakili akiwemo Kibatala na waliongozwa na Lissu. Zitto aliwakilishwa na wakili mmoja tu, Albert Msendo. Chadema walibwagwa vibaya sana katika kesi ile.
 
Lissu yeye kakimbia kesi bado anaona zawenzake nyepesi, Lisu ni mwoga sana

USSR
Mliwahi kumshinda kesi zipi katika mlolongo wa makesi mlomfungulia? Zaidi ya kujiaibisha!!
mliposhindwa mkaona mum.... Jinga nyie!!
mrudisheni avifundishe viwanasheria visomifeki vyenu jinsi ya kufanya kazi kwa akili.
tunajua mnajua hamna kesi ila mnataka akae ndani mpaka kesi kuisha muwe mmemkomoa na kutisha watu!! Hii inatofauti gani na walotufanyia wakoloni wakizungu??
 
Mama maushungi yuko busy na kurekodi viclip vya rebranding huku kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani akifunguliwa mashtaka ya ugaidi
 

Huu nd upembuzi yakinifu ama?

Yaani ndo ukomo wenu wa kufikiria yani. Mnataka kila post iwe inasapoti movement zenu ?

Hamuwezi kuheshimu uhuru wa maoni kikatiba halafu mnalilia uhuru wa maoni. Hovyo kabisa.

Sasa kila siyewafurahisha ni CCM ?
 
Ukweli umedhihirika leo , ambapo Jaji Luvanda amekiri kwamba HATI YA MASHITAKA NI BATILI , ila amekataa kufuta kesi
 
Huu nd upembuzi yakinifu ama?

Yaani ndo ukomo wenu wa kufikiria yani. Mnataka kila post iwe inasapoti movement zenu ?

Hamuwezi kuheshimu uhuru wa maoni kikatiba halafu mnalilia uhuru wa maoni. Hovyo kabisa.

Sasa kila siyewafurahisha ni CCM ?
Wewe ni ccm na mamluki wa jiwe , bisha tukuanike hadharani .
 
Ifike mahali serikali ionyeshe ukomavu kwa kuacha kupambana na wanasiasa wa Chadema ielekeze nguvu kwenye maendeleo ya nchi na wananchi kwa ujumla.

Haya mambo ya kutwa nzima kuwaza Chadema tu akilini haitawasaidia na kitu badala yake miaka mitano inamalizika hamna walichowafanyia wananchi badala yake wanarudi tena kuhujumu uchaguzi, nchi inazidi kurudi nyuma. This is nonsense.
 
Ukivunja sheria utashughulikiwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…