LGE2024 Tundu Lissu mbinafsi, hajajiandikisha kupiga kura awapigie wengine lakini 2025 atataka watu wampigie kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura

Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie kura wengine. Kura yake muhimu yaweza badili matokeo

Sababa kagoma 2025 na yeye anyimwe kura ndio dawa yake ili aelewe umuhimu wa kura ya mtu

Pia soma:LGE2024 - Singida: Tundu Lissu aboresha Taarifa zake kwenye Daftari la Mpiga kura
 
kwahiyo ulitaka akajumlishwe kwenye takwimu za kijinga
 
Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura
Si inajulikana kuwa hayupo? Kulikuwa na haja ya kuanzishia uzi jambo ambalo lipo dhahiri?
 
Acha ushambenga maana picha akiwa anajiandikisha na uzi umo humu humu. Usipoangalia utakuja kupakatwa dogo.
 
Ajiandikishe au asijiandikishe kichapo kwenye sanduku la kura kipo palepale
Hakuna uchaguzi hapa Tanzania, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kwa ujumla hakuna uchaguzi wa kuongelea bali kuna upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Hili jina Tundu Lissu ni homa kwa vibaka wote wa mbogamboga! mazeri anaingia mwezini kila akifikiri hili jina!!
 
Ungekuwa uchaguzi ambao yeye ni mgombea angeondoka?,
Abaki akifanya nini? Yaani kipi cha maana cha kumfanya akae hapa muda wote? Au kwakuwa ww unashinda hapo kwenye ofisi za ccm unategemea kila mtu amepoteza ramani kama ww?
 
Moderators kuacha nyuzi kama huu kuendelea kuwepo ni kijidhalilisha na kulidhalilisha Jukwaa letu pendwa wakati inajulikana kabisa kuwa Lissu aliondoka nchini kabla ya zoezi la kuandikisha halijaanza na hadi sasa hayupo nchini. Au mumeuacha ili mleta uzi ndiye aonekane ndiye mjinga?
 
Yani Tundu Lissu mgombea tarajiwa wa urais hajajiandikisha kwenye daftari la serikali za mitaa.

Nimesikia excuse yake ni kwamba anafatulia fidia zake za tigo.

Hivi wafuasi wa Chadema kweli mnaelewa upuuzi kama huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…