Lissu is unstoppableWe will stop him.
Tunaweka record sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu is unstoppableWe will stop him.
Tunaweka record sawa
Wengi wamekuwa wakitamani kugombea uenyekiti, ila wakikutana na uso wa Mbowe unawasikia"mitano tena kwa mwamba" 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 Ila huyu Jamaa amethubutu na meweza.Wakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Pia, Soma:
Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua
View attachment 3194129
Lissu uoga umeisha muda mrefu hataki upuuziWengi wamekuwa wakitamani kugombea uenyekiti, ila wakikutana na uso wa Mbowe unawasikia"mitano tena kwa mwamba" 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 Ila huyu Jamaa amethubutu na meweza.
Ndio sababu team Lissu wanataka Mbowe angatuke na mikoba amwachie Lissu. Wanajua kabisa ugumu wa kumshinda Mbowe kwenye sanduku la kura.Umekiri hujajiandaa kugombea nafasi hii
Chadema ni wahuni sana!Lissu na yeye aanzishe cha familia yake if that is the case!!
Mbowe anachoweza kumshinda lissu ni chupa za konyagi tu basi.Ndio sababu team Lissu wanataka Mbowe angatuke na mikoba amwachie Lissu. Wanajua kabisa ugumu wa kumshinda Mbowe kwenye sanduku la kura.
Unavyodhani wewe.Chadema ni wahuni sana!
Kwahiyo Mbowe akifa na chama kina kufa?
Jana Heche alisema "Natamka kwa kifupi sana, aliyetufikisha hapa ni Wenje" Udalali wa Wenje ndiyo umegharamia haya yote. Wenje asingevuruga mambo na Mbowe wake wala wasingefika humu.Sasa kumbe ndani ya CHADEMA kuna shida ya mgawanyiko. Mungu aepushie mbali chama hiki kisife. Kikifa CCM watatusumbua sana.
Hii iko personal sanaa Mh.lissu alikutenda kitu gani tujue mapemaHata TL hakufaulu vizur O level... Ndio maana Advance akaenda Galanos 😂.
UDSM wala hakupata First class honors aache kutulisha u smart fake, hizo Upper second ni za watu aver
Kabisa Mkuu. Na haikupaswa kabisa kuwa hivyo. Mimi bado naamini kuwa wafuasi wa Lissu (bila shaka kwa baraka zake) wasingeanza kwa shari kampeni yake, Mbowe angestaafu. Sasa hivi yeyote atakayeshinda atakuwa na chama chenye majeraha makubwa. Labda wanaamini kuwa CDM ilipofika haiwezi kuwa kama TLP au NCCR Mageuzi.! Wanaweza kushangazwa.
Amandla...
Kaongea.Kwahiyo lengo lake ni kumkomoa Mbowe au kunusuru Chama......sidhani kama hayo maneno ni ya Lissu iko smart sanaa hawezi kusema recklessly hivo.
Uvumilivu ni kuachia wenye mamlaka ya kuamua waamue hatma yake. Kustaafu kwa sababu watu wanamsema vibaya sio uvumilivu bali uoga. Akifanya hivyo watu watachukua uamuzi wake kama wa kukiri ukweli wa tuhuma hizo.Mbowe si ni mvumilivu, avumilie tu.Asichukue uamuzi kwa kutunisha misuli. Aonyeshe uvumilivu wake kwa kustaafu badala ya kuwa kinganganizi
Watu hawamsikilizi Lissu. Ukimsikiliza vizuri, utaona jinsi maneno yake yanavyo mshitaki. Ila watu wanamtaka Mwamposa anaewaambia kuwa kila kitu kitakuwa sawa atakaposhika madaraka.Kaongea.
Lisu ni mwehu
Makonda alisema Mwenyekiti ni muuza ngada, Je unakubaliana naye?Lissu muongo, kumbe swalala kumsingizia makonda ni uongo
Ngada siijuiMakonda alisema Mwenyekiti ni muuza ngada, Je unakubaliana naye?
Wenje ni balaaaWakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Pia, Soma:
Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua
View attachment 3194129