Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Lissu ndio ameuza bandari, ameuza migodi, haleti umeme, hatoi ajira, hajengi barabara .... Ila CCM ni matahira aseee...Habari
Huyu bepari ndio anaangamiza hili taifa maana anasababisha raisi na viongozi wetu washindwe kuconcentrate na maendeleo.
Kila siku majukwaani kupinga maendeleo huyu jamaa ni mpinga maendeleo na yeye ndio amelifikisha taifa hili hapa baada ya miaka 60.
Ametuchelewesha sana kwa kweli bila tundu lissu tungekuwa mbali sana kama taifa.