Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumkatae arudi kwao ubelgijiNi mpumbavu fulani hata Mbowe kamchoka sana basi tu
Badala ya kuuza sera za Chadema, yeye kutwa kuchwa ni kulalama mara gari yangu sijui Zanzibar, hivi vinamuhusu nini mkulima vijijini?
Kwanini asiwe anapangua sera za Bashe tuone mbadala wa Chadema kwenye kilimo ni upi?
Katuchelewesha sanaKama nyie ndio aina ya Watu walioshika madaraka , kweli kazi bado ni ngumu.
Tokea uhuru?Habari
Huyu bepari ndio anaangamiza hili taifa maana anasababisha raisi na viongozi wetu washindwe kuconcentrate na maendeleo.
Kila siku majukwaani kupinga maendeleo huyu jamaa ni mpinga maendeleo na yeye ndio amelifikisha taifa hili hapa baada ya miaka 60.
Ametuchelewesha sana kwa kweli bila tundu lissu tungekuwa mbali sana kama taifa.
Sawa wanyonge wamekusikia mkuuKatuchelewesha sana
arudi kwao ubelgiji atuachie nchi yetuTokea uhuru?
hana lolote huyo anapiga tu kelele siye tuna songa mbeleHabari
Huyu bepari ndio anaangamiza hili taifa maana anasababisha raisi na viongozi wetu washindwe kuconcentrate na maendeleo.
Kila siku majukwaani kupinga maendeleo huyu jamaa ni mpinga maendeleo na yeye ndio amelifikisha taifa hili hapa baada ya miaka 60.
Ametuchelewesha sana kwa kweli bila tundu lissu tungekuwa mbali sana kama taifa.
Unasonga mbele au unasonga uji huku unatetemeka?😂😂😂😂hana lolote huyo anapiga tu kelele siye tuna songa mbele
Tatizo anachelewesha maendeleo si unajua miluzi mingi hupoteza mbwahana lolote huyo anapiga tu kelele siye tuna songa mbele
Kwa hiyo TAML ni mpiga miluzi(mtu)halafu mbwa ni akina nani sasa?😂😂😂Tatizo anachelewesha maendeleo si unajua miluzi mingi hupoteza mbwa
Bila tundu lissu hii nchi ingekuwa mbali sana kumbuka wakati yuko ubelgiji tulifika uchumi wa kati alivyorudi tuMi naona bila CCM tungekuwa mbali
Ndungu Mshamba wa kusini,siasa ni hoja japo hoja si siasa a.k.a sii hasa,hivyo acha kuvamia pori pori kwa kiwembe vinginevyo wewe Sii Mshamba wa Kusini ila utakuwa wa porini😅Habari
Huyu bepari ndio anaangamiza hili taifa maana anasababisha raisi na viongozi wetu washindwe kuconcentrate na maendeleo.
Kila siku majukwaani kupinga maendeleo huyu jamaa ni mpinga maendeleo na yeye ndio amelifikisha taifa hili hapa baada ya miaka 60.
Ametuchelewesha sana kwa kweli bila tundu lissu tungekuwa mbali sana kama taifa.
Hujajibu swali. Je tokea uhuru yeye ndio tatizo?arudi kwao ubelgiji atuachie nchi yetu
praise and worshipers team ya ccm sijui kama wataelewa hiyo fasihi walivyo na akili mgandoHabari
Huyu bepari ndio anaangamiza hili taifa maana anasababisha raisi na viongozi wetu washindwe kuconcentrate na maendeleo.
Kila siku majukwaani kupinga maendeleo huyu jamaa ni mpinga maendeleo na yeye ndio amelifikisha taifa hili hapa baada ya miaka 60.
Ametuchelewesha sana kwa kweli bila tundu lissu tungekuwa mbali sana kama taifa.
Bila uwepo wake huenda wewe ungekuwa Haiti utumwani huko,tena kwa kupigwa bei,hivyo yafaa tena umshukuru kwa kuwapigia kelele wala kwa urefu wa kamba,tena kwa ulafi uliopitiliza🤪Bila tundu lissu hii nchi ingekuwa mbali sana kumbuka wakati yuko ubelgiji tulifika uchumi wa kati alivyorudi tu
Anang'ang'ania Tanzania kweni nchi ni hii tu? atuachie nchi yetuNdungu Mshamba wa kusini,siasa ni hoja japo hoja si siasa a.k.a sii hasa,hivyo acha kuvamia pori pori kwa kiwembe vinginevyo wewe Sii Mshamba wa Kusini ila utakuwa wa porini😅
Kile ni kizee na kimeanza kupinga maendeleo zamani sanaHujajibu swali. Je tokea uhuru yeye ndio tatizo?
Wewe mbona hujatafuta nchi ya kwenda,hii yetu wote na mchango wangu na wako unatskiwa ili kuifanya Tanzania salama kwa wote,tena bila chuki kwa yeyote ila kwa kufanya kila jambo kwa Uzalendo wa kweli 😅Anang'ang'ania Tanzania kweni nchi ni hii tu? atuachie nchi yetu