majaar
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 1,356
- 257
Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kuwajengea maabara.
Source: New star tv .
Hivi kweli kila jimbo likingoja mradi wa serikali kufika .. Kuutakua na maendelea nchi hii .
Hivi unatumia makalio kufikiri au?kwa miaka 45 CCM wamejenga shule ngapi hapo jimboni huku wakiwa wameshika serikali?