Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
- Thread starter
- #41
lazima liwe na maendeleo. Kalenga na chalinze maendeleo yao yapo juu kwani wananchi wamechangia kwa kiwango kikubwa ila serikali haijatuma mafungu ya maendeleo hadi kampeni za ubunge zianze! Nawe mwenye uzi huu ndo msemaji wa majimbo yasiyo na maendeleo? Jimboni utokako kuna hali gani? Na hali hiyo imechangiwa na michango yenu au ya serikali? Kama mmekamuliwa ninyi wenyewe, basi funds za miradi yenu hizi huku mbezi beach zinaporomosha makasri ya wakurugenzi wenu! Fikiri upya jinsi ya kumtumia lissu kama sample kwani amekuacha mbali.
1.Ninapoishi kuna maandeleo ya kutoka serikali na mengine ni juhudi za wananchi .... ni vizuri kuonyesha ya kujilomboa kabla ya kusubiriwa kujikomboa ..
2. Unaposema Tundu Lissu kanizidi , unamaanisha nini..
kanizidi kiumri .,au ana mwili mkubwa kuliko mm.. be specific mtu aweze kukujibu kinachokusumbua .