Tundu Lissu: Mbunge kinara wa kudidimiza maendeleo

Tundu Lissu: Mbunge kinara wa kudidimiza maendeleo

vijana ha2na nyuma wala mbele 2kipewa pesa za bangi tu tunaanza kubwata,na kui2kana CCM
Wanachi wanalalamika kwa upuuz huu wa huyu mpuuz tundu lissi

kama ulijifunza kuvuta bangi za ofa una hasara sana na hivi unataka kutuaminisha kuwa umeandika ili wanaokufadhili bangi wakulipie japo puli ya leo! Aibu kwako na unaowategemea. Vijana kuwa maskini kunachangia na sera mbovu za ccm kuhusu vijana. Na mliopo huko ccm mnawatumia kama tissue paper tu wakati wa kupigiana kura. Mkishachaguliwa mnawatelekeza na kuwasahau kwa miaka mitano mingine. Badilikeni enyi wapiga vigelegele wa ccm.
Tundu Lissu siyo saizi yako na wengine mnaofanana(ccm) kwani uwezo wake tu wa kujenga hoja na kushawishi ni mkubwa kuliko unavyojua. Mtazame bungeni anavyowagalagaza hao wanasheria uchwala wenu kwa kupotosha na kutokuzielewa sheria walizokopi toka uingereza na marekani. Anakubalika na wengi na kama huamini muulize pinda ambaye alikiri kuwa yeye lissu alistahili kuwa waziri wa sheria au mwanasheria mkuu! Kuhusu michango ya maendeleo yupo sahihi kwani anatetea matumizi sahihi ya kodi zetu kutumika pasi na vipaumbele. Ukubali tu kuwa hata wewe tundu ni role modal wako. Big up tundu lissu itetee katiba mpya yenye maslahi mapana kwa wananchi na si kwa ccm.
 
Acha kuleta hoja za kijinga hapa jamvini.Mbona Jimbo la Chalinze lina mabanda mengi ya Mbuzi badala ya Shule?

ImageUploadedByJamiiForums1395727508.689017.jpg
Muulize hii nayo ni Singida? Maccm kwa uongo bwana hayawezekani. Ona hata kwenye katiba kule Dodoma wanavyo sema mauongo

Sent from my iPad using JamiiForums
 
1.Ninapoishi kuna maandeleo ya kutoka serikali na mengine ni juhudi za wananchi .... ni vizuri kuonyesha ya kujilomboa kabla ya kusubiriwa kujikomboa ..

2. Unaposema Tundu Lissu kanizidi , unamaanisha nini..
kanizidi kiumri .,au ana mwili mkubwa kuliko mm.. be specific mtu aweze kukujibu kinachokusumbua .

namaanisha uwezo wake wa kujenga hoja na kushawishi, ni mbunge wa kuchaguliwa, mwanasheria aliyebobea, msomi, na mengine jaza wewe. Halafu, badala ya wewe kufikiri utalifanyia nini taifa lako unaleta uzi wa kumjadili mtu! Aibu kwako na waliokutuma kumchafua mbunge wa watanzania wote. Ulishawahi kujipa muda kidogo wa kusikiliza hoja zake bungeni? Hatetei jimbo tu bali watanzania wote. Kuwa mwangalifu na makini kwa vitu unavyotumwa kuviwakilisha kwani nina uhakika yupo anayekutuma na au uwezo wako ni below standard na au unaiwinda nafasi yake. Vinginevyo mwone mh. Sitta akuelekeze jinsi ya kuachana na siasa za majitaka.
 
Hakuna kweli,kwani maendeleo yanakuja kwanza kwa mtu peke yake halaf ndio serikal inafuata.Huu ni upumbavu
 
Katika miaka yote hii minne.Lissu ameisimamia vizuri serikali ya CCM.Katika mambo mbalimbali ikiwemo taasisi mhimu ya bunge.Amejitahidi kuonyesha kuguswa zaidi jinsi rasilimali za nchi zinavyoporwa.PAMOJA NAHAYO Lissu ametelekeza jimbo lake.kulikuwa na mradi wa umwagiliaji. Mpaka sasa umesimama kwa kigezo cha Benk ya dunia kuhitaji wananchi kuchangia asilimia tano.shule hazijengwi.Tumpeleke wapi huya jamaa.
 
Sijawahi kuona Tundulisu anazindua mradi wowote jimboni kwake,wala sijawahi sikia ana mradi wa kimaendeleo labda yeye ni mbunge wa nchi
 
Ametumwa na wananchi wa jimbo la Tundu Lissu.

Wanauliza mbona Lissu kelele nyingi lakini jimbo lake kalitelekeza?

kwani mkurugenzi wa Halmashauri na DC wanafanya nini?
 
kama kweli source ni star tv basi ni hatari kwelikwei......lissu hakuwaambia wanannchi wasichangie maabara bali kodi zisizo na miguu wala kichwa za halmashauri ya singida
 
Sijawahi kuona Tundulisu anazindua mradi wowote jimboni kwake,wala sijawahi sikia ana mradi wa kimaendeleo labda yeye ni mbunge wa nchi

Inauma sana mkuu zaidi ya 500mil zimerudishwa kwa kushindwa kutimiza asilimia 5 kama nguvu ya wananchi kisa yeye kazuia michango.Kala rushwa ya 20mil kutoka Shanta Gold mining ili asisimamie malipo ya fidia za Aridhi.Visima 12 alivyoahidi hata kimoja hajachimba.Kweli Chadema Taifa mmetupora mbunge wetu hata ametusahau.:::::::::::::::::
 
Mtampiga majungu sana, lakini msisahau kawa mbunge miaka minne tu iliyopita na huku mkimwekea vigingi vingi kwa sababu ya kuendeleza ufisadi wenu.
 
Katika miaka yote hii minne.Lissu ameisimamia vizuri serikali ya CCM.Katika mambo mbalimbali ikiwemo taasisi mhimu ya bunge.Amejitahidi kuonyesha kuguswa zaidi jinsi rasilimali za nchi zinavyoporwa.PAMOJA NAHAYO Lissu ametelekeza jimbo lake.kulikuwa na mradi wa umwagiliaji. Mpaka sasa umesimama kwa kigezo cha Benk ya dunia kuhitaji wananchi kuchangia asilimia tano.shule hazijengwi.Tumpeleke wapi huya jamaa.

Nani anakopa hizo hela kutoka Benki ya Dunia? Kupitia mradi upi? Wananchi wanatakiwa wachangie kwa njia ipi? Wewe unafahamu taratibu za kupata frdha za Benki ya Dunia? Acha kudanganya watu kwa chip propaganda. Jibu hayo maswali kwanza kwa uelewa wako
 
Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kuwajengea maabara.

Source: New star tv .

Hivi kweli kila jimbo likingoja mradi wa serikali kufika .. Kuutakua na maendelea nchi hii .
Safi Sana Tundu Antipas Lissu. Wananchi wanalipa kodi ili wapate maendeleo kama haki!! Hatuwezi kulipa kodi halafu tujijengee shule, hospitali na barabara wenyewe. Chama cha Majizi kinatenga fedha za kufanya maendeleo huku kikiwasihi watu wachangie maendeleo na zile fedha tarajiwa wanavimbisha nazo matumbo!! Wanaiba kodi zetu halafu wanasema tuchangie maendeleo!! Kuchangia maendeleo bila kuelewa kodi zinafanya nini ni kuhamasisha UFISADI. Take it or leave it!!!!!!!!!!!!!
 
Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kuwajengea maabara.

Source: New star tv .

Hivi kweli kila jimbo likingoja mradi wa serikali kufika .. Kuutakua na maendelea nchi hii .

Wajinga watakupinga ila ujumbe umefika, na ni aibu kubwa sana kwani yupo hodari kupayuka majukuani tu na kwake maendeleo karibu na ziro, ukichunguza vizuri unaweza kuta shule hizo alizikuta.
 
Mtampiga majungu sana, lakini msisahau kawa mbunge miaka minne tu iliyopita na huku mkimwekea vigingi vingi kwa sababu ya kuendeleza ufisadi wenu.

Hilo unajua wewe, miaka minne ni mingi sana, kafanya nini sasa kwa hiyo miaka minne? kwa maana ubunge ni miaka mitano tu, aache ujinga hawez kuongoza aachie wengine.
 
Lissu na CHADEMA wenzie ndio vinara wa kupinga maendeleo. Na kuhamasisha wananchi kuleta fujo.
 
Bravo Tundu Lisu am sure kichwa kina wauma, kaza buti kaka msaidie mh. Kikwete ambaye amezungukwa pande zote na walaghai wapambe nuksi, chenji ya radar hawaiongelei wanaona poa tu, then wanakuja na hoja zao mfu. Wajinga ni wachache na hawaoni maumivu ya walio wengi, watu wana teseka jinga lina support vitu vya kijinga kabisa kisa pesa za bure bila kuvuja jasho, ndio hofu yetu sasa haya matoto kwa vya bure yanizidi kuongeza idadi ya mashoga, poleni jifunike kwani kunakaribia kupambazuka nyau wewe.
 
Back
Top Bottom