Tundu Lissu: Mbunge kinara wa kudidimiza maendeleo

Lissu ndio ameuza bandari, ameuza migodi, haleti umeme, hatoi ajira, hajengi barabara .... Ila CCM ni matahira aseee...
 
Mkuu tena hapo waweza kukuta wananchi wanachangishwa kila mwaka kujenga shule hiyo kisha maccm yanatia kibindoni.


Sent from my iPad using JamiiForums
Sio kazi ya mbunge kujenga shule ,ni kazi ya serikali ya chama chako cha ccm,kawadanganye wajinga mm hunipati
 
Tumkatae kabisa kazi makelele tu kila siku
Mtu tunawategemea wafanyw mabadiriko tuone maambo yao. Wao kila siku kelele. Yeye kila siku anatafuta mchawi. Mbwa tu. Mbwa mkubwa na chama chao. Wameshindwa wakae kimya. Kila siku na vionline radio.
 
Yaani Lissu akitoa kauli tu, serikali ina-paralyse! Maendeleo yanasimama 😳🤔
 
Sio kazi ya mbunge kujenga shule ,ni kazi ya serikali ya chama chako cha ccm,kawadanganye wajinga mm hunipati
Mpuuzi kweli wewe! Unajibu kwa ku quote mtu bila kusoma mantiki ya hoja yake? Tena unanitusi kwa kuniita CCM?
TUMIA AKILI KIJANA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…