Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Lisu kweli anaweza mikikimikikii ya Uenyekiti,Ukizingatia afya yake sio fitiii sana.Au ni njama ya kutaka kuhama chama kwambaa aseme akishindwa chadema sio chama Cha Democrasia niirnde ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama aliweza kuzunguka Nchi nzima kufanya kampeni za Urais 2020 atashindwaje uenyekiti kwa kigezo cha kukosa fitness? Uenyekiti siyo kubeba zege.Lisu kweli anaweza mikikimikikii ya Uenyekiti,Ukizingatia afya yake sio fitiii sana.Au ni njama ya kutaka kuhama chama kwambaa aseme akishindwa chadema sio chama Cha Democrasia niirnde ccm.
Kulala segerea au Butimba atawezaa?mwezi,si unajua fiesiem.Kama aliweza kuzunguka Nchi nzima kufanya kampeni za Urais 2020 atashindwaje uenyekiti kwa kigezo cha kukosa fitness? Uenyekiti siyo kubeba zege.