Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Jino kwa jinoHatari!
Wameshindwa kumwambia waliompiga "masasi" kibao yeye mwenyewe, ndio waje wamwambie alikopelekwa/alichofanywa huyo?Jino kwa jino
CCM hawatakubali maana ni watuhumiwaTunapendekeza iandikwe list ya watu wote waliopotea toka 2016 hadi leo - tuwaombe ICC iruhusu wachunguzi wake huru waje kujua ukweli.
Hawataki kelele wakati wanaiba mali za ummaCCM kwa nini mnadhurumu maisha ya watu, kisa tu hawaendani na mambo yenu ya gizani.
Hili ni lazima lifanyike kwa wakati maalum; watu hawawezi kupotezwa tu hivi hivi na kusahaulika kama wanyama.Tunapendekeza iandikwe list ya watu wote waliopotea toka 2016 hadi leo - tuwaombe ICC iruhusu wachunguzi wake huru waje kujua ukweli.
LIst ipo TLS walitangazaTunapendekeza iandikwe list ya watu wote waliopotea toka 2016 hadi leo - tuwaombe ICC iruhusu wachunguzi wake huru waje kujua ukweli.