Tundu Lissu: Miradi mikubwa ya Hayati Magufuli ni majanga yajayo ya kiuchumi

Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
akili yake bado ya kisekondari....
yy kila kitu cha Magu anapinga....
muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya...
tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.
Anajitutumua mzee wa MIGA,jinga sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kisemwacho kipo! Kumbukeni huyu mtu alikuwa akitapanya pesa zetu atakavyo yeye na bila ushauri au kupitishwa na bunge au baada ya kugundua bunge ni dhaifu.
 
Lissu anaishi kwa kulelewa na wanaume wenzake kupitia 0713 yake huko ughaibuni
Kwanini anaishi huko?
Nini kilimfanya akimbie na kwenda kuishi huko?
Kwa kuwa huna akili na uu zoba kama walivyo wengine ktk ukoo wenu ndio maana umeandika upuuzi kama asili yenu ilivyo.
 
Labda kama Lisu alianza siasa baaad ya Magufuli kuwa rais, hapo ndio siasa zake zinaweza kufikia mwisho?
Alishakufa kibudu huyo,siasa zake zimebaki za kwenye social media,hazina impact yoyote kwa Taifa.Kick alizipatia kwa magu na sasa hayupo.Hana tofauti na mange kimambi huyo.
 
Ameandika hivyo kupitia twitter:

Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
kumbe akili za kusikiliza, basi namuomba LIssu achanganye akili zake. ''akili za kuambiwa changanya na za kwako''
 
Alishakufa kibudu huyo,siasa zake zimebaki za kwenye social media,hazina impact yoyote kwa Taifa.Kick alizipatia kwa magu na sasa hayupo.Hana tofauti na mange kimambi huyo.

Uko sahihi kabisa, je una swali, maoni ama hoja kwa msaada zaidi?
 
Ameandika hivyo kupitia twitter:

Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Dish limecheza.
 
Hili halitakaa litokee! Pendekeza jingine.
 
Ameandika hivyo kupitia twitter:

Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Hii miradi ni kukurupuka, uchumi lazma uyumbe maana tunapeleka hela nyingi nje kununua maligafi na technologia ambazo hazizalishi
 
Back
Top Bottom