Tundu Lissu: Miradi mikubwa ya Hayati Magufuli ni majanga yajayo ya kiuchumi

Tundu Lissu: Miradi mikubwa ya Hayati Magufuli ni majanga yajayo ya kiuchumi

Lisu ni debe tupu!..

Saa hii yuko getoni kwa amsterdam, alafu anataka kutupangia maisha sisi watz?

Kwanza muulizeni anarudi lini? Mbaya wake si kafa? Au kanogewa huko?
Jikite kwenye hoja,kati ya wewe na huyo unaomsema debe tupu,Nani ni debe tupu,yeye kajenga hoja,wewe una attack personally.
 
Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
akili yake bado ya kisekondari....
yy kila kitu cha Magu anapinga....
muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya...
tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.
Lissu kimsingi ni mpambanaji, mtafuta haki. Hiyo pekee ndiyo imemfanya awepo mpaka hivi sasa akipambana, na uwanja wake ni hapa nyumbani Tanzania na pia kimataifa.

Lissu amepambana enzi za Rais Mkapa, akapambana enzi za Kikwete, enzi za Magufuli, na hatimaye tunaye enzi hii ya Samia.

Enzi ya Mkapa, Lissu alipambana zaidi kama mwanasheria. Alitetea bila malipo wanyonge walioswekwa ndani kwa mashitaka ya kubambikizia na serikali ya ccm. Kipindi hicho Rais wetu wa Wanyonge, Magufuli, alikuwa bize akifanya yake ayapendayo kupitiliza: kubomoa nyumba za Wanyonge bila fidia, na kupora nyumba za serikali.

Kipindi chae enzi za Rais Kikwete, alipambana Bungeni, akaendelea pia kipindi cha mwanzoni cha Magufuli. Kutokana na kukithiri kwa ubabe na mabavu kipindi cha Magu, Lissu aliamua kugombea urais wa chama cha wanasheria ili kupambana na mbinu za serikali ya Magufuli kuwabana wanasheria.

Ndipo serikali ya Magufuli ikaamua kumnyamazisha jumla, Mungu akampa bonasi ya uhai, aendelee kupambana.

Ukisikiliza kipindi cha Mkasi siku walimhoji Lissu, alisema wazi hana mpango kabisa wa kuwania urais. Kwamba anapendelea kupambana bungeni.

Kitendo cha kutaka kumtoa uhai kikambadilisha mawazo, akajitosa kugombea urais. Lissu hapa alibadili kabisa gemu.

Mtu wa aina hii, ambaye amejitolea kweli kupambana kwa ajili ya Wanyonge, hawezi kupotea. Wanaopotea ni waroho wa madaraka, waroho wa fedha, na mafisadi. Tunaujua ufisadi na uroho wa Mkapa na Madudu ya Magufuli ndio yanaanza kuonekana. Na licha ya kuwa hawapo hai, watapotea pia kihistoria.

Tundu Lissu? Bado atakuwepo, kama vile ambavyo Nyerere bado yupo
 
Wewe ni chizi kama yeye tu. Kama alipigania rasilimali za nchi ilikuwaje awe upande wa maadui wakati magufuli alipoamua kuvunja mikataba ya kitapeli ya wazungu badala ya kushirikiana naye?

Unakuwa mnafiki kwa manufaa ya nani? Mmemwua magufuli kwa sababu hizohizo za madini na lisu ndiye mhusika mkuu akitumia mabwana zake wanaomla 071.

Sasa ni hivi, asahau, haitatokea aje awe rais wa nchi hii kwa kuwa Watanzania wenye akili washamfahamu ndani nje na maigizo yake ya kupigwa risasi kushoto akaumia kulia.
Mami polepole, nanaona hujui kuwa Corona haitaki dhihaka !!. Muulize Nkurunzinza
 
Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko.... akili yake bado ya kisekondari.... yy kila kitu cha Magu anapinga.... muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya... tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.
Lakini alichosema ni kwamba amemnukuu CAG mstaafu, Mussa Assad. Kwa nini usimvae Assad aliyesema hayo?
 
Ameandika hivyo kupitia twitter:

Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Naye siku hizi ni mchumi? Amemaliza kulaani sheria? Reli ya kati ilikuwepo miaka yote na tumeifaidi kwa zaidi ya miaka 100, kwa nini ulaani SGR? Kama ni kushindwa kuendesha miradi hilo halihusu uanzishwaji wake. Mbona viwanda vingi vilivyouzwa leo hii tunavililia baada ya kuuzwa na Mkapa?
 
Ameandika hivyo kupitia twitter:

Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.

Walisema waswahili usikatae wito.

Kuunda tume ya wataalamu katika jambo lolote hakujawahi kuwa na mrejesho fyongo.

Ni heri kuwasikiliza ushauri wa wataalamu kuliko kuwasikiliza akina msukuma na wenzao.
 
Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
akili yake bado ya kisekondari....
yy kila kitu cha Magu anapinga....
muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya...
tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.
Vile vile mtu akiewahi jeruhiwa na risasi huwa kuna mda zinahama maana ule mlio huwa unawehusha .sisi tuna ndugu yetu (mtoto wa ba mkubwa)aliwahi vamiwa dukani na majambazi wakamfyatukia rusasi (hakufa ila aliumizwa sana)keshapona ila kuna mda unaweza piga nae stori alafu anabadilika ghafla anaanza kuongea vitu ambavyo hata havipo
 
Hahahaaa

Eti unakaa JF unajifanya kutoa "ushauri" kwa watu usiowajua hata hawajakuomba huo ushauri wenyewe eti "fix yourself up"!

What a lame!

Keep that ushauri in your own arse hole,sijakuomba chochote from u!

Yes mad,nikiwa mad,wewe matako yanakuwashia nini?

Just run around like a kite with emotions and bump to a wrong culprit,killin ya on the humble!
Unafir.wa ww kwenda huko na matako yako...
kuna mtu amekuita hapa.....
unajipendekeza kwenye comment yangu!!??
ukiona nyuzi zangu usijipendekeze pita vile msen.ge ww
 
Lissu watakuja kumuelewa siku za mbeleni,, kizazi cha sasa cha bongo fleva hawaezi elewa lolote.. Lissu yuko mbele ya muda sana..

Naomba tuwe na subira ila ipo siku huu uzi utakuwa na comment za kujenga,, maana watu watakuwa wameelewa
 
Ameandika hivyo kupitia twitter:

Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Wewe jamaa ni bonge la mzandiki.
 
Ameandika hivyo kupitia twitter:

Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Atulie zake huko ughaibuni
 
Huu ni ukweli usiopingika, kila mwenye akili anaona. Shida iko hivi "msala" wa miradi hii utamuangukia rais mwingine (Suluhu) na wajinga watasema "ingekuwa Magufuli mwenyewe isingeshindikana" wakisahau kuwa huyo Magufuli alianza na mradi wa mabasi ya mwendokasi yakiwa 140 na amefariki yakiwa 100 tu ambayo yanasusua. Magufuli amefeli.
 
Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
akili yake bado ya kisekondari....
yy kila kitu cha Magu anapinga....
muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya...
tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.
Hivi una akili kweli au bado umezikabidhi kwa mwendazake?? Lissu yeye kakazia tu mawazo ya Prof. Assad.
Alafu ebu ongea kwa ushahidi wa uzoefu wako...
 
Back
Top Bottom