Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very narrow view....Labda wewe utuambie ni vitu vingapi Magufuli kafeli na watu walimpinga mapema kabisa ila hakukubali
Korosho:- Aliingilia ununuzi wa korosho akapeleka jeshi nadhani unajua nn kilitokea
PSSSF:- Aliunganisha mifuko ya mafao akaleta kikokotoo hapa pia unajua nini kilitokea
ATCL:- Hapa ripoti ya CAG inatosha kutasimini (japo mnatuaminisha imechakachuliwa)
UDART:-Huu mradi PM Majaliwa anazinguka mbuyu ila tatizo lilikuwa serikarini, waliamua kumharasi kwa makusudi mwekezaji Kisena mara kesi za uhujumu uchumi mara washikilie mabasi bandarini kisa kodi TRA
Lissu ameanza siasa zamani sana, kwa wanaomfahamu alianza kukinzana na Hayati Benjamin William Mkapa, enzi za uwekezaji wa madini ya dhahabu, (tafuta article inaitwa "The golden opportunity", utajua Lissu hakuanza kupigia kelele rasirimali wakati wa Hayati JPM, mara zote amekuwa against maamuzi yanayoumiza nchi, ukitafakari kwa kina utagundua the guy is smart, ila baadhi ya wanaomsikiliza (kama wewe) hawamuelewi kutokana na uwezo mdogo!Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
akili yake bado ya kisekondari....
yy kila kitu cha Magu anapinga....
muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya...
tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.
Mbona una hasira kama mjamzito? Mimba kakupa nani?Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
akili yake bado ya kisekondari....
yy kila kitu cha Magu anapinga....
muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya...
tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.
Nimempa baba yako na mama yako mzazi...Mbona una hasira kama mjamzito? Mimba kakupa nani?
Hoja ipi? Kuna hoja yeyote huyo belgiji ameiweka kuonesha umajanga wa hiyo miradi?Wa kupuuzwa ni wewe ambaye una attack personality badal ya ku attack hoja!
Ameandika hivyo kupitia twitter:
Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Waswahili wanasema mtoto haimbiwi nyimbo mbaya. ATCL, SGR, SGe nk ndio hiyo imeshaanzishwa. Nadhani dua iwe ni kuangalia namna bora zaidi ya miradi hiyo kutelezwa kwa weledi zaidi ili kupunguza maumivu na hasara kwa wananchi.Ameandika hivyo kupitia twitter:
Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Sahau hilo jambo! Labda maboresho ya uendeshaji, aina ya ndege za kutumia na idadi yake. Si zaidi ya hapo.
Mbona kwenye ugonjwa na kifo alisema ukweli dhidi ya uongo wa kasimu !Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
akili yake bado ya kisekondari....
yy kila kitu cha Magu anapinga....
muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya...
tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.
Ni kama vile hutakuja kusikia KQ wameuza ndege zake sababu hawajapata faida.. Ni service pia ambayo ni muhimu sana kwa nyanja zingine..Wasipofanya hivyo wataendelea kupata hasara, hakuna siku watapata faida.
Ndege zitajichokea na kuharibika, Pesa zitapotea kama zilivyopotea huko Comoros na kwa njia nyingine shirika litakufa kifo cha taratibu mpaka libaki jina tu.