The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Unaweza kumpuuza wewe wala hakuna wa kukushangaa maana hii ndiyo maana ya "Uhuru Wa mawazo" na "Uhuru wa kuchagua"..Huyo Lissu anajulikana kwa mihemuko....
akili yake bado ya kisekondari....
yy kila kitu cha Magu anapinga....
muda utatuambia ukweli....
Lissu ni wa kupuuza tu hana jipya...
tulimwambia, siku Magu akisepa na siasa zake zitakomea hapo.
Sisi wengine tunamfuata, tunamwamini na kukitilia maanani na umakini kila anachokizungumza...
Tena kwa habari ya Mwendazake usituambie kabisa. Mwache aende zake, alikuwa ni muharibifu tu huyo. Hana legacy yoyote ktk jamii iliyostaarabika...