Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
TOO MUCH LIES
Halafu wanalalamika kuwa vyombo vya habari hawaandiki habari zao
Jana tu walitoa press release kuwa TCAA imezuia Helukopta kuruka kwa sababu zisizoeleweka!!! Nashukuru press waka wa ignore wakijua hawako reliable taarifa zao wakaenda TCAA wenyewe wakaambiwa rubani mrusha helikopta kapita umri wa kisheria na hilo ndilo likatangazwa TV zote lile la uongo likatupiliwa Mbali
Kifupi chadema wamepoteza Truth Reliability kwenye media tofauti na enzi za Dr Slaa.Alikuwa akiongea anashusha ushahidi wa ukweli na uhakika usio na chembe ya shaka
Kiasi kuwa media policies hazihangaiki my counter check wanajua kuwa alichotamka kiko sahihi
Lisu sio presidential material anaongea vitu vya kuokoteza na kutunga kama mswahili tu wa mtaani
Umeandika maelezo marefu, lakini ukweli ni kuwa vyombo vya habari kwa sasa chini ya Magufuli haviko huru. Hayo uliyosema eti vyombo vya habari enzi za Slaa vilikuwa vinatoa habari maana vilijua ni kweli asemacho, si kweli bali vyombo vya habari vilikuwa vina uhuru wa kuridhisha wakati huo kuliko sasa. Kuna siku Slaa alisema kuwa kuna container lina kura zilizopigiwa ccm tayari, lakini ilifahamika baadae kuwa sio kweli, na habari ile ilitangazwa.
Ni hivi, vyombo vya habari kwa sasa haviko huru chini ya dictator, hivyo sio rahisi kwa mkosoaji wa dictator kuruhusiwa habari zake za kweli kutangazwa. Hilo la kuwa Magufuli ana mpango wa kubadilisha katiba ili akae madarakani zaidi, hilo wala halina kificho. Liko wazi peupe.