Uncle Araali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 950
- 1,262
Hili ligombea liongo kweli.Linachojua ni kubadili maneno tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamrarue mara ngapi..? Alipowaaminisha watu kwa nguvu atagombea watu walijua ana kitu kipya tofauti..sera zake zimeegemea zaidi watu wa mjini tena waliojiriwa.. ukimuambia mkulima au mfugaji nitaongeza mshahara wa miaka mitano atakuelewa nini? Sana sana ni kama unamtenga maana yeye hana pa kuongezewa mshahara.Tatizo Lissu hajui vizuri siasa za majukwaani,laiti angefanya tathimini ya hotuba zake kabla ya kuzitapika.
Wapo wasaidizi wake wanammaliza haraka kwa kill me quick pills
Akiendelea kusema sema mbovu wapiga kura watamrarua bila huruma kwenye sanduku la kura.
Ivi anayefikiri kuongeza mishahara ya watumishi kama motisha ili apendwe kisiasa anapima mzani kwa dhati kweli?
Yaani aanze na kusema atatoa wapi fedha za kuongeza, kama chanzo ni Kodi kutoka kwa hawa wananchi wadogo, basi sio hoja kiviiiiile!!!
Kumsema mtu wako kuwe na ukweli sio tu kumsema mfano mimi nasema mkutano wa hadhara kuwa Lisu ni kichaa unataka vyombo vya habari viandike hilo wakati havijaona cheti cha daktari na ushahidi wa hilo nililosema?
Waandishi wetu wa sasa ni wasomi sio makasuku wa kuripoti chochote anachosema mtu
Toka lisu akiwa bungeni mpaka Leo, zaidi ya kutengeneza maigizo na KIKI ,kunalolote la maanaa ambalo ameliibua la kulisaidia selikali na watanzania kwa ujumla?
Taja hata hoja yoyote ambayo lisu ameshachangia bungeni au kuibua likawa msaada kwa taifa.
Nyie kila siku mnasema muhimili wa bunge hauna nguvu..sasa hivi tena unasema spika akitaka..ina maana hata kama magufuli hataki spika akitaka itakuwa hivyo..Raisi katiba ikimtaka aendeleze vipindi zaidi ya 10 hawezi kukataa.
Spika kwenye hili ana nguvu kuliko raisi maana yeye kupitia wawakilishi wa wananchi ndio wanaweza kusema miaka kumi haitoshi au inatosha.
Raisi yeye anatii. Kwa sasa raisi hawezi kusema ataongeza muda maana katiba haimruhusu na si kazi yake kubadili katiba, hiyo ni kazi ya wananchi kupitia wawakilishi.
Katiba itakapobadilika, Raisi ni ngumu kusema hapana ikiwa nchi inamuhitaji na atakapokubali haitamaanisha kuwa alisema uongo kuwa hatoongeza muda, maana anafata matakwa ya wananchi.
Swali ni, wananchi wanatakaje? Jibu litapatikana pale ambapo Raisi atachaguliwa tena na mswada ukaletwa bungeni na mambo yakabadilika halafu wananchi wakaafiki na wakatulia. Kimya maana yake hakuna tatizo. Propaganda kuwa wananchi ni waoga wa polisi na jeshi hazitakuwa na maana wala hazitabadili uhalisia.
Inje ya kupayuka payuka na KIKI zake hajawahii ibua lolote la maana ambalo limekua msaada kwa taifa. Sasa hivi hana Sera yoyote zaidi ya kulazimisha apewe uraisi kama kifuta machozi .Omba Hansard za bunge, kisha fuatilia sakata la Escrow. Ukishamaliza kusikiliza uje tuendelee na mjadala.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema ndugu Tundu Lissu, amewaasa wananchi wa Bagamoyo kuwa, Magufuli ana lengo la kubadili ukomo wa vipindi vya utawala na ndiyo maana Hilo Suala lilizungumzwa bungeni na Spika Ndugai.
Lissu akawaambia wananchi kuwa, Ndugai asingeweza yeye binafsi kulizungumza hilo bila kufahamu kinachoendelea kwenye mipango ya Magufuli.
Lissu akawaambia wananchi kuwa, wafikirie hali ngumu za maisha, ukatili na uonevu uliotokea katika kipindi hiki cha miaka mitano halafu eti Magufuli aongezewe miaka mingine.
Lissu amesema, serikali ya Chadema itakuwa ni Serikali ya Haki, Uhuru na Maendeleo. Itakuwa serikali itakayoheshimu watu tofauti na hii ya Magufuli yenye kudhalilisha watu hususan wanawake.
Lissu akasema kujenga miundo mbinu siyo hoja ya kunyima haki za watu kama vile nyongeza za mishahara zilizoko kisheria. Akasema kuwa hata mkooni alijenga reli, lakini hiyo haikuwa sababu ya kwa nini Tusimpinge, Akasema kuwa tulimpinga mkoloni kwa sababu hakuwa anatutendea HAKI.
Lissu akasema kuwa Nyerere alijenga reli ya TAZARA, tena ndefu zaidi lakini hakudhulumu stahiki za wafanyakazi
Kwa taarifa zaidi juu ya hoja nzito za Lissu tazama video hii

Hii ndiyo dawa ya kumtoa huyu babuGhadafi alipindua nchi, wa kwetu aliingia kidemokrasia baada ya wenzie kuheshimu vipindi vya ukomo na yeye aheshimu vipindi vya ukomo
Asitulazimishie tuje tumtoe kwa njia ambazo walibya walivyomtoa Ghadafi
Raisi katiba ikimtaka aendeleze vipindi zaidi ya 10 hawezi kukataa.
Spika kwenye hili ana nguvu kuliko raisi maana yeye kupitia wawakilishi wa wananchi ndio wanaweza kusema miaka kumi haitoshi au inatosha.
Raisi yeye anatii. Kwa sasa raisi hawezi kusema ataongeza muda maana katiba haimruhusu na si kazi yake kubadili katiba, hiyo ni kazi ya wananchi kupitia wawakilishi.
Katiba itakapobadilika, Raisi ni ngumu kusema hapana ikiwa nchi inamuhitaji na atakapokubali haitamaanisha kuwa alisema uongo kuwa hatoongeza muda, maana anafata matakwa ya wananchi.
Swali ni, wananchi wanatakaje? Jibu litapatikana pale ambapo Raisi atachaguliwa tena na mswada ukaletwa bungeni na mambo yakabadilika halafu wananchi wakaafiki na wakatulia. Kimya maana yake hakuna tatizo. Propaganda kuwa wananchi ni waoga wa polisi na jeshi hazitakuwa na maana wala hazitabadili uhalisia.
sawa kabisa mkuu aanzie kwa mwenyekiti wake kumuuliza kwanini hana kikomo jpm alishasema hataongeza hata siku moja yeye hayo maneno anayatoa wapi aache wendawazimu wake amuulize mbowe atang'atuka lini uenyekitiKwanini kule chadema kila anayegombea uenyekiti anafukuzwa au kuhama au kufariki? Kwanini asianze ndani ya chama chake kuleta huo Uhuru, demokrasia na ukomo wa uongozi ndo aje atoe shutuma zisizo na ushahidi ambazo ni za kudhania tuu kwamba eti Magufuli atabadilisha katiba aongoze Kama Mbowe.
Aache kuropoka Mambo ya kubuni.
Inje ya kupayuka payuka na KIKI zake hajawahii ibua lolote la maana ambalo limekua msaada kwa taifa. Sasa hivi hana Sera yoyote zaidi ya kulazimisha apewe uraisi kama kifuta machozi .
Wapo mashujaa kama akina zito kabwe, kafulila na wengine wengi, waliibua ufisadi wa taifa hili hadi mtoto mdogo akafaham. Sasa huyo jamaa yenu inje na kushuhudia KIKI zake za miujiza ana lipi la maana kwa taifa letu?
Mzee anapanic mpka kaamua kujificha Shato kwanza
Matusi hayaondoi uhalisia wa kitu, kiukweli jamaa yenu inje ya KIKI hanamchango wowote kwa taifa hili, zaidi ya kuliangusha na kujipendekeza kwa mabebeluu.We robot hebu rudi studio wakakuprogram upya, au ufanyiwe updates ya taarifa kisha uje tuendelee na mjadala.
Nyie kila siku mnasema muhimili wa bunge hauna nguvu..sasa hivi tena unasema spika akitaka..ina maana hata kama magufuli hataki spika akitaka itakuwa hivyo..
Basi muifute ile kauli yenu ya kusema ooh bunge dhaifu..halina nguvu ya maamuzi..vinginevyo mtakuwa mnajitekenya wenyewe na mnacheka wenyewe.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema ndugu Tundu Lissu, amewaasa wananchi wa Bagamoyo kuwa, Magufuli ana lengo la kubadili ukomo wa vipindi vya utawala na ndiyo maana Hilo Suala lilizungumzwa bungeni na Spika Ndugai.
Lissu akawaambia wananchi kuwa, Ndugai asingeweza yeye binafsi kulizungumza hilo bila kufahamu kinachoendelea kwenye mipango ya Magufuli.
Lissu akawaambia wananchi kuwa, wafikirie hali ngumu za maisha, ukatili na uonevu uliotokea katika kipindi hiki cha miaka mitano halafu eti Magufuli aongezewe miaka mingine.
Lissu amesema, serikali ya Chadema itakuwa ni Serikali ya Haki, Uhuru na Maendeleo. Itakuwa serikali itakayoheshimu watu tofauti na hii ya Magufuli yenye kudhalilisha watu hususan wanawake.
Lissu akasema kujenga miundo mbinu siyo hoja ya kunyima haki za watu kama vile nyongeza za mishahara zilizoko kisheria. Akasema kuwa hata mkooni alijenga reli, lakini hiyo haikuwa sababu ya kwa nini Tusimpinge, Akasema kuwa tulimpinga mkoloni kwa sababu hakuwa anatutendea HAKI.
Lissu akasema kuwa Nyerere alijenga reli ya TAZARA, tena ndefu zaidi lakini hakudhulumu stahiki za wafanyakazi
Kwa taarifa zaidi juu ya hoja nzito za Lissu tazama video hii
Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema ndugu Tundu Lissu, amewaasa wananchi wa Bagamoyo kuwa, Magufuli ana lengo la kubadili ukomo wa vipindi vya utawala na ndiyo maana Hilo Suala lilizungumzwa bungeni na Spika Ndugai.
Lissu akawaambia wananchi kuwa, Ndugai asingeweza yeye binafsi kulizungumza hilo bila kufahamu kinachoendelea kwenye mipango ya Magufuli.
Lissu akawaambia wananchi kuwa, wafikirie hali ngumu za maisha, ukatili na uonevu uliotokea katika kipindi hiki cha miaka mitano halafu eti Magufuli aongezewe miaka mingine.
Lissu amesema, serikali ya Chadema itakuwa ni Serikali ya Haki, Uhuru na Maendeleo. Itakuwa serikali itakayoheshimu watu tofauti na hii ya Magufuli yenye kudhalilisha watu hususan wanawake.
Lissu akasema kujenga miundo mbinu siyo hoja ya kunyima haki za watu kama vile nyongeza za mishahara zilizoko kisheria. Akasema kuwa hata mkooni alijenga reli, lakini hiyo haikuwa sababu ya kwa nini Tusimpinge, Akasema kuwa tulimpinga mkoloni kwa sababu hakuwa anatutendea HAKI.
Lissu akasema kuwa Nyerere alijenga reli ya TAZARA, tena ndefu zaidi lakini hakudhulumu stahiki za wafanyakazi
Kwa taarifa zaidi juu ya hoja nzito za Lissu tazama video hii
Amekurupuka angesubiri 2025, kwa sasa ajipange upya kujenga chama.Wamrarue mara ngapi..? Alipowaaminisha watu kwa nguvu atagombea watu walijua ana kitu kipya tofauti..sera zake zimeegemea zaidi watu wa mjini tena waliojiriwa.. ukimuambia mkulima au mfugaji nitaongeza mshahara wa miaka mitano atakuelewa nini? Sana sana ni kama unamtenga maana yeye hana pa kuongezewa mshahara.
Unamueleza mtu bima ya afya kabla hujamjengea hospital na kumletea wataalam hiyo bima atajitibia kwa mganga wa kienyeji?
Kuna mambo ambayo watu yanawagusa kwa pamoja..ukisema uboreshaji wa usafiri wa ndege, maji, reli na barabara nzuri tayari umegusa kila kundi, ukisema elimu bure, ujenzi wa madarasa, mikopo elimu ya juu, viwanda na ajira hapa umegusa wote, ukisema zahanati, vituo vya afya, hospital za mikoa..hapa napo umegusa mtu wa kijijini hadi wa mjini...ukisema uhakika wa maji..hapa umegusa mjini na kijijini..uhakika wa umeme (JNHPP) na REA..hapa umewagusa wa mjini na vijiji..
Ukianza kusema ooh kingereza ndio lugha, ooh bima ya afya, ooh nitaongeza mishahara, ooh maendeleo sio vitu wakati mkulima wa ndizi bukoba kule alikuwa anasafiri tani ya ndizi kwa 120000 na leo anasafirisha tani hiyo hiyo kwa elf 25 baada ya kupelekewa kitu ambacho ni meli..sidhani kama jamii itakuelewa.