Jiwe hajawahi kuazimia kuongeza madaraka..labda kama nyie mnahitaji aongezewe madaraka basi kuna njia nzuri tu za kufikisha maoni yenu..mtasikilizwa msiogope.Udhaifu wa bunge ni hivyo kushindwa kuhoji wanayoletewa na serikali wanageuka rubber stamp. Hii maana yake ni kuwa azma ya Jiwe ya kuongeza ukomo wa madaraka kama alivyotudokeza Ndugai itapita tu
Kwa UKOSEFU huu wa sera na mwelekeo, tutazidi kusikia UONGO NA UZUSHI mwingi sana katika kipindi hiki cha siku kama 45 zilizobaki za kampeni kwani as we approach the "V" Day au VOTING DAY, ndivyo sera zinazidi kuyeyuka.Kwanini kule chadema kila anayegombea uenyekiti anafukuzwa au kuhama au kufariki? Kwanini asianze ndani ya chama chake kuleta huo Uhuru, demokrasia na ukomo wa uongozi ndo aje atoe shutuma zisizo na ushahidi ambazo ni za kudhania tuu kwamba eti Magufuli atabadilisha katiba aongoze Kama Mbowe.
Aache kuropoka Mambo ya kubuni.
Upumbavu huo upo pote. Shibuda alifukuzwa CCM alipotaka kugombea urais 2010, Membe katimuliwa akitaka kugombea urais kupitia CCM 2020. Baada ya kufahamu haya futa upuuzi wakoKwanini kule chadema kila anayegombea uenyekiti anafukuzwa au kuhama au kufariki? Kwanini asianze ndani ya chama chake kuleta huo Uhuru, demokrasia na ukomo wa uongozi ndo aje atoe shutuma zisizo na ushahidi ambazo ni za kudhania tuu kwamba eti Magufuli atabadilisha katiba aongoze Kama Mbowe.
Aache kuropoka Mambo ya kubuni.
Mkuu japo sikupendi/sikubaliani na wewe lakini umenichekesha, eti kuwa atasemaLissu watu hawataki kusikia hayo,wanataka kujua ukichaguliwa wewe utaletaje maisha bora?
Hata lissu akichaguliwa hakuna garantii kwamba hataongeza muda,atasema ccm imetawala miaka 50,acha na sisi tutawale miaka 20 hakuna uchaguzi,na kwa vile anaungwa mkono na mabeberu watamshangilia tu
Atake AsitakeLissu kachanganyikiwa kabisa ,hizi ndio sera?
Siku kitakaponuka kumtoa dicteta uchwara ndiyo utajua kama wako wengi au lahWapo wengi tu waliowahi kujifariji Kama wewe kuwa mpo wengi,ila walivyokamatwa, hakuna hata mmoja aliejitokeza kupambana kwaajili yao,zaidi ya kulalamika tu huku mitandaoni bila vitendo.Hebu jaribu kufikiria mtu Kama Mdude , Kuna yeyote ambae bado anamzungumzia humu[emoji848]?
Mkuu tafutia ridhiki familia yako, haya ya kumpambania wanasiasa ili akale yeye na familia yake, ni kunitoa fahamu tu.[emoji120]
Asepe sasa hivi, tumechoka kuishi kama mashetaniWaulize baada ya kumpasua sasa hivi wanaishijeLibya.
Mzee atamaliza 5 yake atawaachia wengine.
Tunataka Rais atakaye heshimu haki na uhuru wa banadamu pamoja na kujali maendeleo ya watu na siyo vitu tuHizi kauli aliongeaga enzi za jk kipindi hicho ananywea bia hadi chooni..huku simu za posho na marupurupu ya kibunge zikimsumbua.
Sasa anaamka anaanza kukana maneno yake..huyo ndio mtu anayetafuta urais wa nchi..labda awe rais wa chachavita( chama cha viwete tanzania)View attachment 1565943
Kijijini tena? Ni Jera...Lissu ndiye Rais wetu. Hiyo October ifike tumalize mambo. Mwandalieni Mzee wa Chato makao huko kijijini.
Ndio maana unabadilisha waume kila mwaka.Kwanini kule chadema kila anayegombea uenyekiti anafukuzwa au kuhama au kufariki? Kwanini asianze ndani ya chama chake kuleta huo Uhuru, demokrasia na ukomo wa uongozi ndo aje atoe shutuma zisizo na ushahidi ambazo ni za kudhania tuu kwamba eti Magufuli atabadilisha katiba aongoze Kama Mbowe.
Aache kuropoka Mambo ya kubuni.
Acha kubweka🗣️ hapa jf, Kama unajiamini ingia road, ili tukufungulie Uzi hapa😂.Siku kitakaponuka kumtoa dicteta uchwara ndiyo utajua kama wako wengi au lah
msizungumze msyoyajua leo hii Gadafi wanatamani afufuke maisha yalivyo magumu, Gadafi ukioa unapewa nyumba na fedha kila siku ya kuishi, fika libya uwaulize mateso wanayokumbana nayo sasa.Alikuwa mbaguzi alipendelea watu wa kabila lake tu ndiyo aliwapa maisha mazuri ndiyo maana walimpasua. Madikteta siyo wa kuwachekea hata kidogo
Kwani nani kasema anaingia peke yake?Acha kubweka[emoji2788] hapa jf, Kama unajiamini ingia road, ili tukufungulie Uzi hapa[emoji23].
Kila mmoja akiogopa Kama wewe, Ni Nani atakayeanzisha🤔? Kimsingi kila kitu huanza na mmoja.Kwani nani kasema anaingia peke yake?
Huyu inabidi awe na dakatri karibu kila wakati ili kudhibiti mfumuko kwenye obongo wake. Uropokaji imekuwa ni ada yake.Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema ndugu Tundu Lissu, amewaasa Wananchi wa Bagamoyo kuwa, Magufuli ana lengo la kubadili ukomo wa vipindi vya utawala na ndiyo maana hilo Suala lilizungumzwa bungeni na Spika Ndugai.
Lissu akawaambia wananchi kuwa, Ndugai asingeweza yeye binafsi kulizungumza hilo bila kufahamu kinachoendelea kwenye mipango ya Magufuli.
Lissu akawaambia wananchi kuwa, wafikirie hali ngumu za maisha, ukatili na uonevu uliotokea katika kipindi hiki cha miaka mitano halafu eti Magufuli aongezewe miaka mingine.
Lissu amesema, serikali ya Chadema itakuwa ni Serikali ya Haki, Uhuru na Maendeleo. Itakuwa serikali itakayoheshimu watu tofauti na hii ya Magufuli yenye kudhalilisha watu hususan wanawake.
Lissu akasema kujenga miundo mbinu siyo hoja ya kunyima haki za watu kama vile nyongeza za mishahara zilizoko kisheria. Akasema kuwa hata mkooni alijenga reli, lakini hiyo haikuwa sababu ya kwa nini Tusimpinge, Akasema kuwa tulimpinga mkoloni kwa sababu hakuwa anatutendea haki.
Lissu akasema kuwa Nyerere alijenga reli ya TAZARA, tena ndefu zaidi lakini hakudhulumu stahiki za wafanyakazi
Kwa taarifa zaidi juu ya hoja nzito za Lissu tazama video hii
Ukweli ni mmoja tu Magu na TL wote hawajui siasa na wanatabia zinazoana. Ukiwa mtu makini utagundua hilo.Tatizo Lissu hajui vizuri siasa za majukwaani,laiti angefanya tathimini ya hotuba zake kabla ya kuzitapika.
Wapo wasaidizi wake wanammaliza haraka kwa kill me quick pills
Akiendelea kusema sema mbovu wapiga kura watamrarua bila huruma kwenye sanduku la kura.
Ni yeye huyuhuyu, Tundu Lissu, aliyesimamia Katiba ya Chadema kubadilishwa kinyemela nakuondoa ukomo wa mwenyekiti.Kwanini kule chadema kila anayegombea uenyekiti anafukuzwa au kuhama au kufariki? Kwanini asianze ndani ya chama chake kuleta huo Uhuru, demokrasia na ukomo wa uongozi ndo aje atoe shutuma zisizo na ushahidi ambazo ni za kudhania tuu kwamba eti Magufuli atabadilisha katiba aongoze Kama Mbowe.
Aache kuropoka Mambo ya kubuni.
Kwa kauli yako hiyo hata wewe kuna unayempambania ila kama kawaida unafiki ndio umewazidi.Wapo wengi tu waliowahi kujifariji Kama wewe kuwa mpo wengi,ila walivyokamatwa, hakuna hata mmoja aliejitokeza kupambana kwaajili yao,zaidi ya kulalamika tu huku mitandaoni bila vitendo.Hebu jaribu kufikiria mtu Kama Mdude , Kuna yeyote ambae bado anamzungumzia humu🤔?
Mkuu tafutia ridhiki familia yako, haya ya kumpambania wanasiasa ili akale yeye na familia yake, ni kunitoa fahamu tu.🙏
unadhani chadema kwa ulafi wao wakichukua dola watatoka?hata bunge halitakuwepo,nchi itaongozwa kwa mawazo ya baraza kuuMkuu japo sikupendi/sikubaliani na wewe lakini umenichekesha, eti kuwa atasema
" Ccm wametawala zaidi ya miaka 50 so acha na sisi tuendelee"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanasiasa siyo wa kuamini aisee