Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Mkimchagua Magufuli, ana lengo la kubadili Katiba kuondoa ukomo wa vipindi vya kutawala

Mungu mbariki Tundu Lissu
 
Mbona ujadili kilicholetwa unajadili mambo mengine, kwani CCM haikusema bungeni kua wanamuongezea muhura mwingine?
 
Lissu na Wanaomuunga Mkono Wote wana akili tegemezi na ndoto za alinacha Mambo wana urohoooo
 
Mbona ujadili kilicholetwa unajadili mambo mengine, kwani CCM haikusema bungeni kua wanamuongezea muhura mwingine?
Sio Kila Linalosemwa Bungeni linapitishwa **** mbunge Aliomba Bangi iwe huru haikupitishwa na ilisemwa Bungeni kwanini msiseme Mambo yalio kwenye katiba mnalopaka lopoka tu kama wacheza vigodoro
 
Itakuwa serikali itakayoheshimu watu tofauti na hii ya Magufuli yenye kudhalilisha watu hususan wanawake.

*********
Bangi anazovuta huyu jamaa zinachanganywa na mavi ya punda. Kauli nzito Kama hii huwezi kuipitisha kienyeji bila kuitolea maelezo.
 
Wanavuna walichopanda,
Mwanakulitaka mwanakulipata.
msizungumze msyoyajua leo hii Gadafi wanatamani afufuke maisha yalivyo magumu, Gadafi ukioa unapewa nyumba na fedha kila siku ya kuishi, fika libya uwaulize mateso wanayokumbana nayo sasa.
 
Na hili jambo lina ukweli kwamba jamaa anataka kubadili katiba. Maana amekuwa akimjibu Lissu makombora anayo yarusha be kwake. Lakini hili la kubadili katiba halizungumzii kabisa. Kuna jambo hapo.
 
Baadae mtakuja kusema Lisu katabiri sasa hivi anaongea kama tahadhali
 
Huyu Lissu kachanganyikiwa saaana, yaani ameshindwa kumshauri Mbowe asibadili katiba akiwa yupo, ameshindwa kumshauri Mbowe awape wenzake Fursa ya kikatiba ya Chadema kugombea nafasi ya Mwenyekiti mwishowe wote wanaonekana hawafai, ameshindwa kama Wakili msomi kumshauri Mbowe umuhimu wa kuifuata katiba na kuonesha Mfano ili kukitengenezea Chadema heshima kwa Watu lakini anaanza kupiga ramli kwa Wengine wakati yake tayari yamemshinda.
Ndani ya Chadema anayeheshimu Demokrasia anaitwa Msaliti, Katumwa na CCM, na Bahati Mbaya wengine walazwe mahala pema peponi, wengine wamefukuzwa uanachama, wengine vilema, wengine wamefichwa kwasababu ya kuratibu namna ya kuchukua uenyekiti ( Mbw Ben saaa anajua alipo na alimficha kwa sababu ya uenyekiti).
NB: Charity starts at home. Niongeze sauti au inatoshaaaaaaa. Msinifokeee huku nacheeeeeekaaaa na Domokrasia ya Chadema
 
adai uhuru wa kutumia hela za ruzuku kwa Mbowe badala ya kutuchangisha mikutanoni
 
Ndungai alisema bungeni wewe wa wapi
 
Mhuu nahisi kutokuelewa au inclination iliyonayo ongea uhalisia.
 
Hii ni dalili tosha ya mfa maji. Hana sera. Badala ya kusema atawafanyia nini Watanzania anakuja na mambo ya kufikirika. Mwaga sera TL kama huna basi kaa kimya.
Dalili zote zaonyesha hivyo hebu toa data zotazoprove him wrong.
 
Hii ni dalili tosha ya mfa maji. Hana sera. Badala ya kusema atawafanyia nini Watanzania anakuja na mambo ya kufikirika. Mwaga sera TL kama huna basi kaa kimya.
Ndioooo haoni mwenzie anavyomwaga sera jinsi atavyotatua shida za wananchi wenye mbunge mwanamke mweupe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…