Muda bado. tuliza kipapa hichoLissu anaishia kulaumu tu bila yeye kusema atafanya nini,hatokopa fedha ama akikopa atakopa kiasi gani na kwaajili ya nini,awe anaweka na mbadala wa yeye nini atafanya kuliko yeye kulaumu bila kuonyesha njia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda bado. tuliza kipapa hichoLissu anaishia kulaumu tu bila yeye kusema atafanya nini,hatokopa fedha ama akikopa atakopa kiasi gani na kwaajili ya nini,awe anaweka na mbadala wa yeye nini atafanya kuliko yeye kulaumu bila kuonyesha njia.
We uanahisi tundu ana akiri timamu?Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.
Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi.
Namdi Azikiwe. (@NamdiAzikiwe) on Twitter
Nchi inawekwa rehani wewe unasema mwananchi sijui haelewi. Hivi unajua kilichotokea huko Ugiriki? Japo walikuwa na wajomba wao EU? Nyie mna wajomba kama wagiriki?Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.
Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi.
Namdi Azikiwe. (@NamdiAzikiwe) on Twitter
Kwahiyo huko ndo kujidhatiti kiuchumi na kiusalama?Hana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.
Kuna mtu anakwambia it's mama maskiniHana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.
Yaani Mimi ningekuwa mgombea ningekuwa napanda majukwani na risti za kununulia umeme,mafuta na kadhalika kuwaonesha nani analipita na kupeleka miradi ya umeme vijijini,pia ningekuwa na video Ile magu anajisifia kumleta beberu wa WB kufungua interchange ya ubungo na yule mwanaume wa barrick pale ikulu.Yani hizi ningekuwa naziproject now and thenCcm haina muda wa kumpa kiki lissu. Ccm ilishawajibu wananchi kwa kuwaletea maendeleo.
Umeme kila kijiji, bwawa kubwa kabisa la umeme mto Rufiji , daraja refu kabisa Afrika mashariki na kati pale kigongo ferry, vituo vya afya kila kata, watoto wetu wanasoma bure, treni ya umeme, meli ziwa Victoria na nyasa.
2020-2025 twende na jembe kutoka Chato. John Magufuli.
Zile zilikuwa ngendembweNdiyo maana TRA hawatangazi tena mapato kama mwanzo
SawaOngeza sauti kidogo
Hahaha
Yaani Lissu anazidiwa hata na Lowasa aliyekuwa ameinunua Chadema, hivi utaenda kwa mwananchi wa kawaida umwambie deni la taifa tilion 40 akuelewe kweli bora aendelee kutoa ushuhuda wa risasi zilitolewa mwilini mwake.Hana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.