Tundu Lissu mubashara VOA

Ungekuwa wewe umepigwa risasi 16 nadhani ungesikitika sana mpaka ungelia baada ya kusikia aliyekuwa anataka kukuua na kukupa kilema cha maisha amekufa
 
Hahahahaha leo ndio nimeamni Lissu ni mgonjwa wa akili kabisa au atakuwa anaongelea jambo lingine nimecheka sana hahahaha
Dalili na alama( symptom and sign) mojawapo ya ugonjwa wa akili ni kucheka sana. Kujichekesha hahahaha! Mgonjwa wa akili hajui ni mgonjwa. Yeye ni bingwa wa kuona wazima ni wagonjwa wa akili kabisa. Hajui anachoongea na kuona wengine wanaongelea jambo jingine. Hahahaha mwanzo mwisho!
 
Nimecheka kinoma, eti tuko vizuri chini ya mama Samia, labda nyie masalia ya jiwe ya kundi la watu wasiojulikana, ndio mko vizuri kwa yale malipo ya mauaji aliyokuwa akiwaagiza kufanya.
Wewe utaishia na tucoment twako hutu twa kila siku,
 
Kama Mandela alivyokuwa na hasira na Kaburu Pieter Botha huko Afrika Kusini. Kurudi ni mapenzi yake, huku yuko kwenye maisha ya juu, siku akiona anataka kurudi huku porini atarudi kimpango wake.
Usimfananishe Mandela na takataka
 
Sasa baada ya kupima hoja za Lissu nikajikuta nimewaza hivi huyu ndo angekuwa Rais wa nchi yetu ingelikuwaje?.

Lissu wa siku hizi anasikitisha Sana, siyo yule Lissu aliekuwa akitema cheche zenye hoja kwenye bunge la katiba na Sheria wakati wa J.k.
Zama hizo ulikaa na kupima hoja za huyo mwingine ambaye tena alikuwa rais? Nchi yetu iko kama hivi ilivyo kwa sababu ya hoja zake! Mr Tyang utajitoa ufahamu hadi lini? Jihurumie ndugu yangu.
 
Lissu kadanganya. Eti mlinzi wa magufuli amekufa.. wakati yupo hai kabisa na msibanii alionekana
 
Lisu hana tofauti na Mmawia wa hapa jf
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3], jamaa anahitaji apate mtaalamu wa kisaikolojia asaidiwe. Ana chuki sana anashindwa kumove on na mambo mengine.
Kutwa Magufuli Magufuli haya baba wa watu kajiondokea sijui ataongea nini tena

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa wewe umepigwa risasi 16 nadhani ungesikitika sana mpaka ungelia baada ya kusikia aliyekuwa anataka kukuua na kukupa kilema cha maisha amekufa
Risasi amepigwa ndio, anae mchukia ameshakufa. Hana hoja nyingine zaidi ya hizo?
 
Risasi amepigwa ndio, anae mchukia ameshakufa. Hana hoja nyingine zaidi ya
Hoja ya majadiliano ilikuwa Ni Magufuli legacy.. wewe ulitaka aongelee hoja nyingine ambayo Ni ipi?
 
Nilivyosikia tu hii nikaona hapa bado kumbe akili yake haijakaa sawa. Bado anahitaji matibabu ya kisaikolojia

Hapa hata mie nimeshangaa sanaa tena anam describe kabisa eti yule mweusi tii aliekua anavaa suti kafa na Corona ,nikajiuliza Tundu hakumuona kwenye mazishi akiwa na ADC au anaona audience anayozungumza nayo ni wajinga kiasi hawawezi kuuona huu uongo?
 
Hadi PLO Lumumba kamwambia akiendelea kuongozwa na chuki na hasira Kwenye akili na moyo wake ,atapoteza ata mvuto aliokua nao kwa watu
 
Hadi PLO Lumumba kamwambia akiendelea kuongozwa na chuki na hasira Kwenye akili na moyo wake ,atapoteza ata mvuto aliokua nao kwa watu
Ameshapoteza mvuto kwa wananchi wasio na vyama. Watakao msapoti ni chadema wenzake ambao hawamshauri wana mjaza upepo ili aendelee kubwabwaja yasio ya msingi.
 
Jishughulishe na ccm ya CHADEMA waachie wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…