Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

@Ngw'amapalala,, naomba usikilize vizuri speech ya Lissu..ile mifano 4 aliyotoa ili kuthibitishia bunge la katiba kuwa muungano ulikuwepo hauna uhalali kisheria..si dhani ametusi Nyerere..but baba wa taifa si mungu..ni binadamu kama sisi..kwa kuna makosa aliyofanya, nadhani ukisifia hata alikosea unaidumaza akili yako
 
Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu, Mzee wa watu anavuliwa nguo akiwa kabulini. 'Walio wengi' vumilieni na kukubali kubadilika ili kuiponya NCHI.


Historia haiishiwi wino.
 
Valid point wrong approach used...if at all this is what Lissu said.
 
It' sad when 40M Tanzanian expects these baboons to fix our issues, current issues, they go about to attack a dead man 15 years removed from earth. worse they attack a man who publicly agreed to having made mistakes, which according to his religion he practically repented for.
So, if Nyerere, had to take steps to protect the UNION during the cold war, what is the story here? was Tundu Lisu on Nyerere's shoes to understand the implication of the decisions he took?it's always very easy to criticize a dead person, when he can't reply for himself. Tundu this was a Mistake., A huge one. if you expected to score political points for this, i believe you will be disappointed. Not because, you are wrong, simply because it's a political blunder.

Even if Nyerere lied, that doesn't stop current leaders from deciding their own destiny, you can squarely make your ideology be know without attacking a dead guy. This blame game has now been taken far enough by CDM/Lissu.

The way he attacked everyone is like justifying he is a saint,which he unfortunately isn't. One can easily make his opinion known by highlighting what's wrong with the Union, and steps to fix it.
 

What makes you keep on complaining?

Go ahead, what restrict you anyway? this is crazy, that man died more than 20yrs a go but yet nothing has been done

than complaining... you must be not serious guys and this defines the impotent of your brains living on the past than the present.
 
Hana adabu wala nidhamu! Sijui kama kuna wakubwa kwao.
 
It is of extreme danger to make generalizations without having a full picture. Lissu was barely a teenager when the Union was made. Unless he has proof beyond reasonable doubts that the UNION is illegal, i don't think making empty accusations is the way to go. He is a lawyer for Christ sake, swearing day in, day out for a country he DEEMS illegal? for consistency, and moral point of view, i expect him to file a legal proceeding to challenge legal status of the Union, Otherwise he should keep his noise to a minimum.

Hapa sasa hata Mtikila anaoneakana ana busara kuliko huyu Lissu.
 
Una maana gani Ndg yangu Ng'wamapalala? Huu ni wakati wa kujifunza!
Mkuu, huhitaji kweli mbali kufahamu kama Mwl. Nyerere hakuwa mtu wa kawaida katika jamii ya Kitanzania na hata nje ya mipaka yake.

Kama kiongozi aliyeweza kuwafanya wananchi wengi na ameendelea vile vile mpaka sasa kuifanya waukubali uwongo wake na udikteta wake kutokana na 'faida' iliyopatikana katika matendo hayo, basi hiyo tu inajitoshereza kusema Mwl. Nyerere hakuwa mtu wa kawaida!.
 

Sometimes naona Lissu hana tofauti na Lema
 
Tindu lisu uliyesoma bure leo unaweza kumtukana Nyerere? Siasa imekupa kiburi? Nimekutemea mate usoni puuuuuu.
 
Nimeangalia video sijaona Lissu aliposema Nyerere alizoea kuishi kwa uongo, nadhani una ajenda yako ya siri ya kutaka kupotosha aliyoyasema lissu baada ya kuona amewashika pabaya.
Mkuu, Mh. Lissu ametushika vibaya kina nani?.

Mimi ni muumini wa serikali moja au kama ikishindikana, basi kila nchi ichukue fito zake.
 
Sio kosa kubadilika.Mwakyeme wa jana hawezi kuwa Mwakembe wa leo. Akiwa yuleyule wa jana atakuwa amedumaa au amekoma kukua kielimu. Mtu hubadilika kulingana na kupata maarifa mapya au elimu mpya, hata akibadili mazingira hubadilika pia. Mtu hawezi kuwa na fikra mgando hata baada ya kupata elimu na uzoefu mpya. Tundu Lisu wa leo sio yule alivyokuwa alipo maliza LLB. Ungemuuliza Mwakyembe ni kwa nini amebadili msimamo wake angekujibu, hali kadhalika ungemuuliza Prof. Shivji anayo majibu, lakini kusema ni mwogo ni kukosa kujua maana ya elimu kuwa hujengwa juu ya elimu nyingine na wazola leoni bora kuliko wazo la jana ' a second thought is better than the first thought. Kadiri mtu anavyoishi hupata maarifa mapya zaidi ya yale ya jana
 
Kama Nyerere alikubali kukosea manake yamekwisha na Tundu naye anakosea pia hakubali kukosea sio kila anachofikiri yeye ni sawa. Sio kweli kama alizoea kuishi kwa uwongo na udanganyifu na amewaambia chukueni mazuri yake sasa iweje mifano ya Lissu iwe ile mibaya tu. Kama mtoa hoja alichoandika ndio Nyerere alikuwa hivyo hata Wakatoliki wasingefikiria kumtangaza ktk mchakato wa mwenye heri. Sasa anavyofikiri Lissu isiwe sababu ya kila mtu kumtoa maana Julius.

 

Haya Tundu Mwalimu Nyerere alikuwa na udanganyifu, aliwafunga akina Aboud Jumbe na Dwarado. Nakuona kijana una ushawishi mkubwa sana wa kisheria na kiHistoria ambayo wengi hatukuijua.

Nakuomba unifanyie kitu kimoja tu, ufukuze Wazanzibari wote waondoke wakati sisi WaBara tunajadili mambo ya Bara. Wakati wao wanajadili mambo ya Zanzibar na walipokuwa wakiunda Serikali ya Mapinduzi hawakuleta hoja zao katika Bunge la Jamhuri, walimaliza huko huko kwao, iweje sisi tuwakaribishe kuja kujadili mambo ya kwetu mpaka watupigie kura ya theluthi mbili katika mambo yasiyowahusu?

Katiba ya Jamhuri ina mambo ya Bara pia, yatenganishwe, mbona mnakwenda kama vibaka msiokuwa na elimu kutekwa akili na Wazenj. Halafu mnashangilia CCM,CCM, CCM ndani ya Bunge la Jamhuri. Hilo ni Bunge la Katiba na siyo la CCM? katiba ni ya Jamhuri siyo ya CCM, ni ya Jamhuri (CCM,CUF, NCCR, TLP........). Hatuwezi kuingia ushindani wa vyama katika Katiba ya Jamhuri. Kikwete ameonyesha utoto kwenda kihubiri msimamo wa chama chake katika Bunge la Katiba, mwelimisheni haraka, sifa ya uKiongozi Bora isitukanganye kwa sababu ni boya lililoandaliwa na Sumaye wakati amekwenda huko walikokwishajikusanyia washabiki wa kununua.
 

Very well said, We all change our positions so many times, Unless Mwakyembe said, he has never changed a decision in his life.The Lissu would have decency of calling him a lier. Mwakyembe a student is of insignificant stature compare to Mwakyembe the minister, who sits in the executive branch of the government, the second Mwakyembe has Access to unimaginable secrets of this country.I will expect him to have a very different view of a lot of shit than the mwakyembe slugging it in German.
I am also sure this Lissu might have stood Jukwaani na kumnadi Zitto siku moja back in the days, can he do the same now?The same Lissu, can't call zitto katibu mkuu msaidi wangu, because he has sued them and they are wrangling it in court. Je Lissu ni Muongo. I don't think so.
Huyo Dr. Slaa aliwahi kuwa kada wa sisiemu, probably kuna siku aliimba Zidumu fikra za mwenyekiti,je Lissu akipata transcript ya Slaa anamsifia mwenyekiti wa CCM atamuita katibu wake Muongo?
Wajapani walishawahi kupigwa Bomu la Nyuklia na Wamarekani leo ni allies, je waendelee kuwa Maadui kwa sababu ya makosa ya miaka 80 ya nyuma?
What's sadder is whatever Lissu wanted to convey will be buried by his extremely stupid examples.
What happened to innocent until proven guilty ? really st*pid lawyer
 
Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost

Nyerere ktk Hotuba zake amekiri Kuwa Serikari yake ilitenda mabaya na Mazuri ,ilikuwa na mapungufu yake,ikija Serikali mpya inachukua Mazuri hasa ya msingi na kuyaendeleza ,na kuachana na Yale mabaya,huenda mojawapo ya mabaya ni huu Muungano kukosa Hati ,Nyerere asilaumiwe sana Maana alishakubali alichemsha ktk baadhi ya mambo,ni wajibu wa Serikali ya Sasa kuhakikisha Tanganyika inarejea ili kupunguza kasi ya lawama juu ya Nyerere .
 
Angalia kabla ya kusema! Sio tu unasema, lakini unaseama nini? Sio tu unasema nini, unasema namna gani? Sio unasema namna gani, unamwambia nani? sio tu unamwambia nani unamwambia wakati gani? Tundu haangalia mambo hayo yote lakini pia kuchamba kwingi mwisho kushika mavi.
Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu, Mzee wa watu anavuliwa nguo akiwa kabulini. 'Walio wengi' vumilieni na kukubali kubadilika ili kuiponya NCHI.


Historia haiishiwi wino.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…