Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata yesu walimdhihaki lkn mpaka leo anabaki kuwa mwana wa Mungu na mwokozi wa maisha yetu, nani ana bisha? Bila jina la yesu kuhuburiwa ulimwengu huu pangekuwa salama?
Unafikiri kuwa Nyerere kafanya "mabaya mengi sana" kama Tundu Lissu asemavyo?
Hata yesu walimdhihaki lkn mpaka leo anabaki kuwa mwana wa Mungu na mwokozi wa maisha yetu, nani ana bisha? Bila jina la yesu kuhuburiwa ulimwengu huu pangekuwa salama?
Hiki kipindi ni cha muda lakini nilikuwa sijakisikiliza, leo nimekisikiliza na kuanzia saa moja na dakika nane ya video hii Tundu Lissu anafunguka na kusema, "kuna mengi sana mabaya aliyoyafanya Nyerere".
Msikilize Tundu akimwaga radhi kuhusu Nyerere kuanzia saa moja na dakika nane:
[video]https://youtu.be/1m8IRbqFnb0[/video]
Swali langu; Tundu Lissu, Nyerere atakuwaje mtakatifu kama hajafanywa "Mungu Mtu"?

Teh! Itakuwa ajabu siku hiyo majini kuhubiri habari za Jerusalem Mpya na kusifu ukuu wa Kiti cha Enzi kama ambavyo itakuwa maajabu ya karne wewe kumnenea mema Nyerere! Wewe unajua utakatifu unapatikanaje? Acha kushobokea yasiyokuhusu. Wewe saizi yako ni Al-Shabaab, Boko Haram, etc. Hubiri habari za bikra 70 utakatifu wa Nyerere achana nao haukuhusu.
Swali lako jibu lake soma Zaburi 16: 3
Watakatifu wapo duniani na wala sio miungu watu, wanabaki kuwa binadamu tu kama wewe na mimi. Kwa hiyo Nyerere angeweza kuwa mtakatifu wakati wa uhai wake bila kufanywa "mungu mtu"
Tundulisu anatafuta umaarufu,ndo maana huwa anaropoka tu
Hiki kipindi ni cha muda lakini nilikuwa sijakisikiliza, leo nimekisikiliza na kuanzia saa moja na dakika nane ya video hii Tundu Lissu anafunguka na kusema, "kuna mengi sana mabaya aliyoyafanya Nyerere".
Msikilize Tundu akimwaga radhi kuhusu Nyerere kuanzia saa moja na dakika nane:
[video]https://youtu.be/1m8IRbqFnb0[/video]
Swali langu; Tundu Lissu, Nyerere atakuwaje mtakatifu kama hajafanywa "Mungu Mtu"?
Lissu ndie mwanasiasa bora wa Karne.Tundu Lissu alimwita mwanasheria mwenzake kwamba ni muuaji, alimuua mkewe.
Lissu ni mwanasheria mzuri na mwanaharakati mzuri ila sometimes anazidiwa na mihemko
Hiki kipindi ni cha muda lakini nilikuwa sijakisikiliza, leo nimekisikiliza na kuanzia saa moja na dakika nane ya video hii Tundu Lissu anafunguka na kusema, "kuna mengi sana mabaya aliyoyafanya Nyerere".
Msikilize Tundu akimwaga radhi kuhusu Nyerere kuanzia saa moja na dakika nane:
[video]https://youtu.be/1m8IRbqFnb0[/video]
Swali langu; Tundu Lissu, Nyerere atakuwaje mtakatifu kama hajafanywa "Mungu Mtu"?
Alichosema ni kweliTundu Lissu anashangaa vipi mpaka Rais wa Zanzibar anaamuliwa Dodoma na tunaitawala Zanzibar kwa mabavu anasema haukubali huu muungano uliopo.
Endelea kumsifia Lissu lakini kumbuka ni MKRISTO. Anaitwa Tundu Antipas Mughwai Lissu sio YAHAYA huyo....Tundu Lissu anashangaa vipi mpaka Rais wa Zanzibar anaamuliwa Dodoma na tunaitawala Zanzibar kwa mabavu anasema haukubali huu muungano uliopo.
Ndio ni kweli.Tundu Lissu anasema Zanzibar ni koloni la Tanganyika lilioanzishwa kwa muungano wa Nyerere na tunawatawala kimabavu. Wewe unaonaje? ni kweli?