Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Hata yesu walimdhihaki lkn mpaka leo anabaki kuwa mwana wa Mungu na mwokozi wa maisha yetu, nani ana bisha? Bila jina la yesu kuhuburiwa ulimwengu huu pangekuwa salama?
 
Huyo bibi ndiyo anakuvuta huko ili muanze udini, watch out
 
Unafikiri kuwa Nyerere kafanya "mabaya mengi sana" kama Tundu Lissu asemavyo?

Hilo liko wazi na hata yeye wakati wa uhai wake alishawahi kusema alifanya makosa, sijajua suala la utakatifu umeliingizaje hapo wakati Tundu Lissu sio kiongozi wa kidini na hilo halikua lengo lake.

Hii mada ungeweza kuiboresha zaidi kwa kupata maoni kutoka kwa watu mbalimbali kwamba ni vipi tunaweza kuyaepuka makosa hayo na ni nini tumejifunza. Sio lazima utaje mazuri ya Nyerere lakini bado uzi huu ungekua bora zaidi kuliko ulivyoingizia mambo ya utakatifu kitu ambacho sio kila anayeguswa na mabaya au mazuri ya Nyerere anakifahamu.
 
Hata yesu walimdhihaki lkn mpaka leo anabaki kuwa mwana wa Mungu na mwokozi wa maisha yetu, nani ana bisha? Bila jina la yesu kuhuburiwa ulimwengu huu pangekuwa salama?

Japo ni nje ya mada lakini Yesu alizaliwa kifalme, akaishi kifalme (mwenye mamlaka) akafa kifalme, akafufuka kifalme, atarudi kifalme na atatatawala kifalme milele!
 
Hiki kipindi ni cha muda lakini nilikuwa sijakisikiliza, leo nimekisikiliza na kuanzia saa moja na dakika nane ya video hii Tundu Lissu anafunguka na kusema, "kuna mengi sana mabaya aliyoyafanya Nyerere".

Msikilize Tundu akimwaga radhi kuhusu Nyerere kuanzia saa moja na dakika nane:

[video]https://youtu.be/1m8IRbqFnb0[/video]

Swali langu; Tundu Lissu, Nyerere atakuwaje mtakatifu kama hajafanywa "Mungu Mtu"?

Unamataka Lissu?? sema JF ukiunganishe ili upate ufafanuzi faragha maana unaswali zuri kweli
 
Yule jamaa anatafuta umaarufu kupitia nyerere.haya ngoja tuone!
 
Hiki kipindi ni cha muda lakini nilikuwa sijakisikiliza, leo nimekisikiliza na kuanzia saa moja na dakika nane ya video hii Tundu Lissu anafunguka na kusema, "kuna mengi sana mabaya aliyoyafanya Nyerere".

Msikilize Tundu akimwaga radhi kuhusu Nyerere kuanzia saa moja na dakika nane:

[video]https://youtu.be/1m8IRbqFnb0[/video]

Swali langu; Tundu Lissu, Nyerere atakuwaje mtakatifu kama hajafanywa "Mungu Mtu"?

Swali lako jibu lake soma Zaburi 16: 3
Watakatifu wapo duniani na wala sio miungu watu, wanabaki kuwa binadamu tu kama wewe na mimi. Kwa hiyo Nyerere angeweza kuwa mtakatifu wakati wa uhai wake bila kufanywa "mungu mtu"
 
Nyerere was a Giant, and every giant has great blind spot
cc faiza Foxy
 
Last edited by a moderator:
Teh! Itakuwa ajabu siku hiyo majini kuhubiri habari za Jerusalem Mpya na kusifu ukuu wa Kiti cha Enzi kama ambavyo itakuwa maajabu ya karne wewe kumnenea mema Nyerere! Wewe unajua utakatifu unapatikanaje? Acha kushobokea yasiyokuhusu. Wewe saizi yako ni Al-Shabaab, Boko Haram, etc. Hubiri habari za bikra 70 utakatifu wa Nyerere achana nao haukuhusu.

Mimi sijayaona hayo mema ya Nyerere, Jee Tundu Lissu nae anafanya maajabu kumponda Nyerere? Umemsikiliza?

Anasema huu Muungano wa Nyerere ni kuifanya Zanzibar kuwa koloni la Tanganyika, hata Rais wao anachaguliwa Dodoma.

Jee, ni jema hilo, wakati sisi wenyewe tunajidai kulaani ukoloni?
 
Nyerere was a Giant, and every giant has great blind spot
cc faiza Foxy

Tundu Lissu anasema Zanzibar ni koloni la Tanganyika lilioanzishwa kwa muungano wa Nyerere na tunawatawala kimabavu. Wewe unaonaje? ni kweli?
 
Swali lako jibu lake soma Zaburi 16: 3
Watakatifu wapo duniani na wala sio miungu watu, wanabaki kuwa binadamu tu kama wewe na mimi. Kwa hiyo Nyerere angeweza kuwa mtakatifu wakati wa uhai wake bila kufanywa "mungu mtu"

Tundu Lissu anashangaa vipi mpaka Rais wa Zanzibar anaamuliwa Dodoma na tunaitawala Zanzibar kwa mabavu anasema haukubali huu muungano uliopo.
 
Tundu Lissu alimwita mwanasheria mwenzake kwamba ni muuaji, alimuua mkewe.
Lissu ni mwanasheria mzuri na mwanaharakati mzuri ila sometimes anazidiwa na mihemko
 
Hiki kipindi ni cha muda lakini nilikuwa sijakisikiliza, leo nimekisikiliza na kuanzia saa moja na dakika nane ya video hii Tundu Lissu anafunguka na kusema, "kuna mengi sana mabaya aliyoyafanya Nyerere".

Msikilize Tundu akimwaga radhi kuhusu Nyerere kuanzia saa moja na dakika nane:

[video]https://youtu.be/1m8IRbqFnb0[/video]

Swali langu; Tundu Lissu, Nyerere atakuwaje mtakatifu kama hajafanywa "Mungu Mtu"?

Foxy ni hivi kutangazwa mtakatifu kuna mambo mengi ikiwa ni pamoa na yeye kusema shue za akatoliki sasa ziwe public miaka ile maana waislam hawakuwa na shule wasome nao waachane na mambo ya kizamani . Kwa uamuzi ule pekee anaweza tangazwa mtakatifu .
 
Tundu Lissu alimwita mwanasheria mwenzake kwamba ni muuaji, alimuua mkewe.
Lissu ni mwanasheria mzuri na mwanaharakati mzuri ila sometimes anazidiwa na mihemko
Lissu ndie mwanasiasa bora wa Karne.
 
Hiki kipindi ni cha muda lakini nilikuwa sijakisikiliza, leo nimekisikiliza na kuanzia saa moja na dakika nane ya video hii Tundu Lissu anafunguka na kusema, "kuna mengi sana mabaya aliyoyafanya Nyerere".

Msikilize Tundu akimwaga radhi kuhusu Nyerere kuanzia saa moja na dakika nane:

[video]https://youtu.be/1m8IRbqFnb0[/video]

Swali langu; Tundu Lissu, Nyerere atakuwaje mtakatifu kama hajafanywa "Mungu Mtu"?

Kwani Lissu amekwambia Nyerere atakuwa Mtakatifu ?
Unajua Process za mtu kutangazwa mtakatifu ?
Nilishakuambiaga ya Ngoswe muachie Ngoswe,mimi na wewe tu waislam,Mambo ya Wakatoliki hatuyajui,tuwaachie wenyewe
 
Tundu Lissu anashangaa vipi mpaka Rais wa Zanzibar anaamuliwa Dodoma na tunaitawala Zanzibar kwa mabavu anasema haukubali huu muungano uliopo.
Endelea kumsifia Lissu lakini kumbuka ni MKRISTO. Anaitwa Tundu Antipas Mughwai Lissu sio YAHAYA huyo....
 
Back
Top Bottom