THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Udini utakumaliza mjinga wewe
Bora kunyamaza,kuliko kubwabwaja,ukaonekana hamnazo!Friends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.
Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.
Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.
Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini
Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Bora kunyamaza,kuliko kubwabwaja,ukaonekana hamnazo!
Sema maandishi hayagomi hata mtu akiandika ujinga!Tundu lisu lazima kikombe akinywe mhaini mkubwa yule
Na hiko chama ambacho ni kichaka.chao cha uhaini lazima kifutwe
Ndio maana,uhakimu na ujaji sio fani Yako, Maana Kwa Akili ulizonazo.....!Kuna kila ushahidi wa video za uhusika wao katika uchochezi na uhaini
Tunataka haki itendeke kwao pasipo na kuonewa huruma wala kuogopwa
DhaahiriFriends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.
Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.
Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.
Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini
Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
mnataka tushindane kwa kuweke Video? Mtakimbilia TCRA wapumbavu nyie, msituone wajinga kiasi hichoUkweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.
Hahaha you wish lakin ndio hivyo amegaragaza mashahid wote. Kama mnataka afungwe mnasubiri nn kwenda kutoa ushahidi?Tundu lisu lazima kikombe akinywe mhaini mkubwa yule
Na hiko chama ambacho ni kichaka.chao cha uhaini lazima kifutwe
mnataka tushindane kwa kuweke Video? Mtakimbilia TCRA wapumbavu nyie, msituone wajinga kiasi hicho
Mshazoea uwizi na utapeli ndiyo mana watu wakitaka mabadiliko mnawaita wahaini.Friends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.
Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.
Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.
Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini
Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Huna uwezo huo, watishe wajinga wenzioTundu lisu lazima kikombe akinywe mhaini mkubwa yule