Mbona hujaweka ushahidi wa video hata moja? Wazazi wengine wana hasara sanaKuna kila ushahidi wa video za uhusika wao katika uchochezi na uhaini
Tunataka haki itendeke kwao pasipo na kuonewa huruma wala kuogopwa
Mbona hujaweka ushahidi wa video hata moja? Wazazi wengine wana hasara sanaKuna kila ushahidi wa video za uhusika wao katika uchochezi na uhaini
Tunataka haki itendeke kwao pasipo na kuonewa huruma wala kuogopwa
Huko kusini kwenu wamakonde wanasema "ukimungunya nchale ukitema nchale"Tundu lisu lazima kikombe akinywe mhaini mkubwa yule
Na hiko chama ambacho ni kichaka.chao cha uhaini lazima kifutwe
Tundu lisu lazima kikombe akinywe mhaini mkubwa yule
Na hiko chama ambacho ni kichaka.chao cha uhaini lazima kifutwe
Alisema Askofu Bagonza.... kama kuchochea watu ni rahisi, na nyie chocheeni wawapendeSio kweli wao sii wachochezi,ila chawa waliojaa kama wewe ndiyo wachochezi ndani ya taifa hili!
Vipi gesi itatoka au haitoki?Wahaini kama hawa hakuna kuwaonea huruma hata wafuge Rasta kama Dotto Magari
Samia na majeshi yake ndiyo walioua Watanganyika zaidi ya 10,000.Friends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.
Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.
Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.
Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini
Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Unaelewa maana ya "root cause" au unajiandikia tu almradi uonekane na hao wauaji wenzako??Tunaangalia Rootcause ya vurugu
Hatuangalii outcomes,zile vurugu zilichocchewa na wachochezi kama tundu lisu na magenge yake
Hata mauaji ya kimbari kuna wachochezi waliosababisha umwagaji wa damu kama ule
Lazima wawajibishwe na hiko chama lazima kifutwe
Absolutly 😂Umasikini ni mbaya sana changanya na unene sasa
Very stupid combination
Huko kusini kwenu wamakonde wanasema "ukimungunya nchale ukitema nchale"
Sasa Lissu kawagaragaza Mawakili wa serikali zaidi ya 15 na mashahidi wao wa mchongo 17 jumlisha rasilimali zao za kutosha hadi wakaweka silaha chini. Sasa wanalazimisha eti "HAKUNA CHA NO CASE TO ANSWER" ajitetee tu!
Hivi wanajua madhara yake? Lissu kesha taja mashahidi atakao waita, jee mnawakumbuka? Yupo Samia, Majaliwa, Mpango na Spika na huo moto watakao pelekewa anajua Mungu pekee!
Mtashuhudia mtu mnayemuita Rais akiangua kilio hadharanikwenye mahakama ya wazi na mtajuta
Unaelewa maana sahihi ya kuwa na kesi ya kujibu? Ona Sasa waendesha mashtaka wanavyo hangaika asilete mashahidi wake? Hapo Kuna kesi au kulazimisha tuu ili kuficha upumbavu!Ana kesi ya kujibu sasa yule mwehu
Na lazima ale kitanzi