Tundu Lissu na CHADEMA hamtaweza kukwepa liability kwa uchochezi na uhaini wa October 29

Kiakili Lissu ni mshindwa tu
Kivyovyote mtakavyo

Hata iwe kesho kutoka Lupango bado yeye nimshindwa Sababu
Mbili

Moja mipango yake ya kuzuiya Uchaguzi imekufa kibudu✅️

Mbili matokeo yake Mwenyekiti mpya ndugu Tundu Lissu kukielekeza Chama kugomea
uchunguzi 👈

Matunda yake akitoka ndani atakuta Chadema nyeupe haina ruzuku yoyote 👈

Manake kukiendesha Chama kutategemea nguvu za wafuasi wake kutoa michango👈

kwa muda mrefu zaidi ya miaka 4 watoe michango lau Chama kinaenda kufa chenyewe👈

kwa kushindwa kujitegemea kiuchumi
Lkn pia tunajua adui muombee njaaa👈🤠🤠🤠🤠

kuwepo kwa njaaa Chadema kunaweza kutoa fursa mpya ya kuwachonganisha wenyewe kwa wenyewe wakiamua wenye nguvu zao👈

😜😜 ipi ivi msemo maarufu mziki unapigwa na CCM 🤠
lkn wachezaji ni viongozi wa Chadema 👈

Mjomba Lissu karibu uraiani lkn karibu kwenye michezo mipyaa ya kisiasa👈

Baada ya michezo ya Lupango kwisha tunaamini umejifunza kutumia Mdomo vizuri ili tucheze michezo ya kisiasa
kwa utulivu kama Mwenyekiti wa Chadema ✍️
 
Jee mbona bado kinaendelea na kuungwa mkono?
 
Asante sana Mkuu
 
Umeandika vitu vingi sana

Kwa ufupi kabisa nakujibu kwamba lisu yuko pale kizimbani kama kinara wa kuhamasisha na kuchochea hayo yote uliyoyasema hapo.

Na usiipangie mahakama cha kufanya

Serikali ilikuja kureact kwa uvunjifu wa amani ambao wao waliuchochea

Kama wahaini wameshika bunduki kutaka kuipindua nchi na kuichoma askari hawana haja ya kusubiri order ya samia,watafanya kila kinachostahili kuilinda nchi hii.
Sasa mbona umefunga ushahidi katika mashahidi 30 ukaleta 17 tu na wote hao hakuna hata mmoja aliyeonesha video yoyote katika hizo zenye uhaini unazosema unazo..?

Unategemea ukazioneshe wapi..?

Au utafungua kesi mpya ndugu Nassoro Katuga...??

Naiona frustration yenu yako...

Naiona confusion yenu...

Na ofcoz kila mtu anaona how desperate are you kuhakikisha mtu huyu is out of the picture..

But I would like to disappoint you by this statement: HAMUWEZI KUKIPATA MNACHOKITAFUTA KWA MTU HUYU, mbingu zimesema na zinamlinda maana ktk Imani yetu ya Kikristo (TL ni Mkristo), Neno la Mungu ambao ni Upanga wa Roho ulao kuwili linasema hivi:

Ayubu 5:12-15 SUV
"....Yeye huyatangua mashauri ya wadanganyifu, Mikono yao isipate kuyatimiza makusudi yao. Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao wenyewe; Na mashauri ya washupavu yaharibika kwa haraka. Wao hupatwa na giza wakati wa mchana, Hupapasa mchana vilevile kama usiku. Lakini yeye huokoa na upanga wa kinywa chao, Hata kumwokoa mhitaji na mkono wake aliye hodari..."
​

If you think you can, then, we are eagerly waiting to see what exactly are going to do that...

Mungu akupe hekima ya kuyaelewa haya na kukuondolea moyo wa uovu na umwagaji damu ndani yako na wenzako huko mliko....
 
THE BIG FOOL , kwanza tambua CHADEMA haikushiriki hicho mnachokiita uchaguzi japo haukua uchaguzi kwa mtu yoyote aliye timamu [sizungumzii binadamu yoyote anayepumua] .

Kwenye maandamano nina video nyingi tu sikuo hata bendera ya chama chochote cha siasa zaidi ya kuona bendera za Tanzania na Tanganyika.

Madai ya watu kuelekea October yalikua mengi , hasa tatizo la magari machache na ubovu wa miundombinu ya mwendokasi pale Kimara , ni wiki chache tuliona watu wakivunja vioo na vituo pale hata kabla ya mnachokiita uchaguzi na hii ilitakiwa iwe ni kengele ya kuwaamsha kwamba mtapoteza nchi.

Tumeshuhudia wanaccm wawili kama Gwajima na Polepole wakianika uchafu wa Samuya na familia yake , Mange Kimambi hali kadhalika akaanika matumizi ya anasa ya familia za Samuya, Kizigha ,Mombo ila hakuna huku kuna familia mlo mmoja tu ni hadithi badala mpambane ufisadi nyie mkageuka kuwawinda wafichua ufisadi.

Nakupa pole sana na waliokutuma hakuna namna mtakwepa maandamano mengine makubwa msipotatua kero nyingi zinazoletwa na wakosoaji , pambaneni na ujumbe kama [ufisadi, utekaji, wizi wa kura, uminywaji wa uhuru wa kutoa maoni, miundombinu mibovu na mengine mengi] waleta ujumbe waacheni .

Mkianza kuua kila mleta ujumbe na ujumbe haufanyiwi kazi waleta ujumbe wanaibuka wapya kila siku je mtawamaliza?

Yaani watu wanaona mtu mtoto wake asiyefanya kazi anaongelea kwenye midollar halafu wao wanadandia mwendokasi kama nyani dirishani ndio wafike kazini unafikiri kuna usalama hapo?

Tangu mmemteka na kuua watu je imetatua matatizo hayo niliyoyataja?
 
Friends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.

Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.

Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.

Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini

Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Ccm itapona kwa kuwa ilipata kura 31m za halali. Tumieni ulevi wa madaraka mtakavyo, lakini ule upuuzi wa rais na genge lake la ccm kuchezea box la kura hautakaa urudiwe tena. Vinginevyo tukisema uchaguzi haufanyiki, mjue hautafanyika kweli.
 
Friends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.

Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.

Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.

Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini

Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Akili yako ipo katika yai huwezi kuongea kitu chenye mnyumbuliko unaongozwa na hisia.
 
Sasa unakuja kutofokea sisi kosa letu ninini? 😅

Omba uwe shahidi namba 19.
 
Friends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.

Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.

Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.

Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini

Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Kuua aue samia mtafute wa kumuangushia lawama, nani aliwatuma kuiba uchaguzi hali iliyo ondoa imani kwa wananchi
 
Friends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.

Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.

Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.

Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini

Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Lissu kayapiga dole machoko mahakamani sasa hivi yanahaha itakuwaje siku ya ijuma.
 
Back
Top Bottom