Wewe Nassoro Katuga bila shaka umerukwa na akili
Wewe mwenyewe na wapuuzi wenzio kwa hiari yenu wenyewe mmefunga ushahidi mahakamani kwa kuleta mashahidi 17
Na kati ya hao wote hakuna hata mmoja aliye tender hata video Moja ya hizo unazodai unazo nyingi mitandaoni!
Sasa huo uhaini na ugaidi ni wa kwenye hisia zenu tu eeh??
Absolutely, Yes..
Hata Watanganyika ndicho wanachokitaka yaani: UKWELI, HAKI na UWAJIBIKAJI..
Yaani;
✓ Kama Kuna gaidi kafanya ugaidi, apewe haki yake..
✓ Kama haini kafanya uhaini na ikathibitika hivyo, apewe haki yake anayostahili..
✓ Bi Kizimkazi a.k.a Samia Suluhu Hassan (aliyekuwa Rais wa Tanganyika na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote ya Ulinzi na usalama by then) ambaye kwa mamlaka yake alitoa amri ya majeshi Polisi, JWTZ, TISS, KMKM na Mgambo kushika silaha na kuanza kuua watu hovyo mitaani, majumbani, maeneo ya starehe kama bar nk, vijiwe vya kahawa nk, naye apewe hakumu yake ya HAKI anayostahili..!
✓ Wote ma OCDs, maRCs, maRPC, mawaziri na viongozi wengine wowote wa kiserikali waliokuwa na wajibu kuzuia uhalifu huo dhidi ya binadamu lakini wao wakasimamia zoezi hili la mauji ya raia kwa kisingizio cha kijinga eti "walichochewa" na ili kutenda uovu huo mkuu wa umwagaji damu za raia wasio na hatia yoyote na kinyume cha sheria tarehe 29/10/2025 na siku zilizofuata, nao wapate haki na stahili yao sahihi ya hukumu..!
Ndugu
THE BIG SHOW, nakuhakikishia kuwa hakuna jiwe litabaki limesimama bila kuangushwa.
Na hii haitaisha mpaka pale itakapoisha kwelikweli...
Damu za ndugu zetu ziko ardhini zinadai haki na haki ya uhai hawajanyang'anywa na Tundu Lissu.
Wameuwawa na Samia Suluhu Hassan na serikali yake haramu kiharamia kabisa ili kupata madaraka na mamlaka ya kisiasa - u Rais, ubunge na udiwani 2025..!!