Tundu Lissu na CHADEMA hamtaweza kukwepa liability kwa uchochezi na uhaini wa October 29

Friends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.

Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.

Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.

Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini

Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
CHADEMA ni chama kibaya sana kwenu mafisadi
 
Wewe akili yako ndio imefika hapo. Sasa chama kina shida gani? Kwa taarifa yako chadema kimefikia level ingine. Hata ukifuta huwezi kuondoa mawazo yaliyokwisha kupandwa. Wauaji na watekaji nchini mbona wanajulikana hata na watoto wadogo.? Pole yako
 
Friends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.

Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.

Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.

Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini

Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Kijana Shababi wa kiichilamu
 
naunga mkono hoja 🤝
 
Yaani wewe na sisiem yako kuweni makini kwa sasa kwa mwenye akili hawezi kukubaliana na sisiem kamwe hata mtoto mdogo akiulizwa kuhusu oktoba 29 walioua ni kina nani atakwambia polisi na sisiem .
 
Back
Top Bottom