MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,115
- 15,057
CHADEMA ndio chama pekee dola imeshindwa kukimaliza... ndio matokeo yake haya sasa, mnahangaika kila kona kutafutiza issues
Ukiona Mtu badala kutumia "hicho" anatumia "Hiko" ujue kuna myumbo kichwani.Tundu lisu lazima kikombe akinywe mhaini mkubwa yule
Na hiko chama ambacho ni kichaka.chao cha uhaini lazima kifutwe
Kumbe jamaa ni jike sikujuaHapo hapo ukute kuna mtu anakupenda kakuzalisha na watoto kabisa?
Kama ma BIG SHOW walivyoSipati picha ushuzi wako unanukaje!
Hata CCM hawatakwepaa na SERIKALIIFriends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita.
Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo mahakamani na kuendele kwao kusota rumande basi ni kigezo tosha cha kuhurumiwa na kusamehewa kwa makosa waliyoyafanya.
Ukweli upo wazi na video za ushahidi zipo wazi kwa uchochezi na uhamasishaji wao wa vurugu na uhaini,kwa kutaka kuifanya hii inchi isitawalike na uchaguzi usifanyike.
Rai tunayoitoa kwa Msajili wa vyama vya siasa ni ile ile,ikufutie usajili hiko chama cha chadema na pia tunazidi kuiomba mahakama isione huruma wala kuingiza hisia katika kuwashughulikia hawa wahaini
Hiko chama kifutwe na hao wahusika wote wapewe haki yao ya hukumu.
Dhaahiri
Uhaini gani umefanyika?Tundu lisu lazima kikombe akinywe mhaini mkubwa yule
Na hiko chama ambacho ni kichaka.chao cha uhaini lazima kifutwe
Very good, unataka root cause sio? Root cuase, ilikua ni serikali ya CCM kuyapuuza madai hahali ya wananchi, kupuuza maazimio ya tume kadhaa ikiwemo tume ya Jaji Chande, Polisi kujiingiza kwenye siasa za CCM, kutekwa na kupotezwa, wachache kufaidi huku wengine wengi wakiishjia kwenye umaskini....etc. Hizo ndio root cause au primary cause, hizo za akina Tundulisu ni secondary causes. Usituone wajinga wote kama mlivyojazana ujinga huko CCM.Tunaangalia Rootcause ya vurugu
Hatuangalii outcomes,zile vurugu zilichocchewa na wachochezi kama tundu lisu na magenge yake
Hata mauaji ya kimbari kuna wachochezi waliosababisha umwagaji wa damu kama ule
Lazima wawajibishwe na hiko chama lazima kifutwe
Hii tumetumia miaka 20 iliyopita,siyo jipyaBaba yako angejua angemwagia nje tuu
Uhaini gani umefanyika?