Tundu Lissu na CHADEMA hamtaweza kukwepa liability kwa uchochezi na uhaini wa October 29

Kuna kila ushahidi wa video za uhusika wao katika uchochezi na uhaini

Tunataka haki itendeke kwao pasipo na kuonewa huruma wala kuogopwa
Mbona hujaweka ushahidi wa video hata moja? Wazazi wengine wana hasara sana
 
Tundu lisu lazima kikombe akinywe mhaini mkubwa yule

Na hiko chama ambacho ni kichaka.chao cha uhaini lazima kifutwe
Huko kusini kwenu wamakonde wanasema "ukimungunya nchale ukitema nchale"
Sasa Lissu kawagaragaza Mawakili wa serikali zaidi ya 15 na mashahidi wao wa mchongo 17 jumlisha rasilimali zao za kutosha hadi wakaweka silaha chini. Sasa wanalazimisha eti "HAKUNA CHA NO CASE TO ANSWER" ajitetee tu!
Hivi wanajua madhara yake? Lissu kesha taja mashahidi atakao waita, jee mnawakumbuka? Yupo Samia, Majaliwa, Mpango na Spika na huo moto watakao pelekewa anajua Mungu pekee!
Mtashuhudia mtu mnayemuita Rais akiangua kilio hadharanikwenye mahakama ya wazi na mtajuta
 
Sio kweli wao sii wachochezi,ila chawa waliojaa kama wewe ndiyo wachochezi ndani ya taifa hili!
Alisema Askofu Bagonza.... kama kuchochea watu ni rahisi, na nyie chocheeni wawapende
 
Kwahyo walivyo chochea wao ndo wakawapiga risasi ?
 
Ukimaliza pitia ole buku 7 yako umpelekeee mkeo akahemee mbogamboga
 
Samia na majeshi yake ndiyo walioua Watanganyika zaidi ya 10,000.
 
Unaelewa maana ya "root cause" au unajiandikia tu almradi uonekane na hao wauaji wenzako??
 

Ana kesi ya kujibu sasa yule mwehu

Na lazima ale kitanzi
 
Ana kesi ya kujibu sasa yule mwehu

Na lazima ale kitanzi
Unaelewa maana sahihi ya kuwa na kesi ya kujibu? Ona Sasa waendesha mashtaka wanavyo hangaika asilete mashahidi wake? Hapo Kuna kesi au kulazimisha tuu ili kuficha upumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…