Tundu Lissu na CHADEMA kama chama, sikiliza ushauri huu wa Ansbert Ngurumo

Waache washiriki hao act ni maamuzi yao lkn kumbuka no reforms no election
 
Nyoo eti nilishiriki .kwendraa
 
Is this not part of the claimed reform?
 
Hilo linaeleweka na Mimi nilishauri mengi tu, Lakini iko njia.
 
Ngurumo hana jipya kila alichokiongea wapenda mabadiko walisha yamaliza yote kwa kuyaongea hapa jf , Ngurumo ni mviziaji kama waviziaji wengine tu kwenye nchi na kwenye vyama vyetu
 
Absolutely true
 
Yaani WaTz tuache kula kiporo cha wali maharage tujitoe muhanga kwajil ya watu wajinga wajinga wapiga makelele kama Lissu na Heche 🤣💩
Aisee ni kweli hatuipendi ccm ila acha tu iendelee kutawala, nchi haiwez kuongozwa na wahuni washamba kama chadema
 
Corret, CCM ni mashetani, haaogopi thambi maana dhambi ndyo maji yao ya uhai! TUFANYE NINI?
SWALI GUMU SANA. ANY OPTION ITAKUWA CONFRONTED NA POLISI, JESHI , UTEKAJI AND THE LIKE! TUFANYE NINI?

..hata ACT Wazalendo kuna uwezekano wakasusia uchaguzi, au wakauzuia kwasababu wao kwa upande wa Zanzibar hawana uoga.

..kuna suala la " KURA YA MAPEMA " ambayo ni jambo linalobishaniwa vikali sana Zanzibar.

..Ni bahati mbaya Watanganyika hatufuatilii siasa za Zanzibar, lakini kuna kauli ngumu sana za kupinga uchaguzi, na kudai mamlaka kamili kwa Zanzibar, zinatolewa na viongozi wa ACT.

..Wakati tukiwabeza na kuwalaumu Chadema, nina wasiwasi ACT watakuja kutushtukiza maamuzi magumu.
 
Ndio,waendelee na uto tuvyama kwani kuna tabu gani?,na CDM itaendelea na shughuli zake kama kawaida.
 
Naunga mkono hoja hiki ni kichwa!.
Chadema kama inataka mabadiliko ya kweli, lazima ijifunze kukubali kupokea ushauri na kuuchakata, ikiona ni ushauri wa maana, kiutumie.

Mimi nimeisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,
P.
 
Hii kauli mbiu mbona ilitangazwa na Mbowe!! Lissu anaingiaje? Kingine ni mjinga tu atakubali kuingia kwenye uchaguzi ambao unajua utashindwa.
Ndio maana nawashauri Chadema kumpuuza Ansbert Ngurumo anaetaka kuwaondoa Chadema toka kwenye njia yao sahihi ya kuwapatia wananchi haki yao. Uchaguzi bila basic reforms ni kucheza singeli ya ccm tu!
 
Naunga mkono hoja hiki ni kichwa!.
P
Hawa ndio wale wale wachumia tumbo! Haki ya mtu hupiganiwa Hailetwi mezani kama Sinia la pilau; sacrifices must be made. Kama huwezi kaa kando. Afadhali kufia kwenye frontline kuliko kufa kitandani na malaria.
Kwa Hali ilivyo sasa, vijana wengi wamekata tamaa kwani Hawaoni tofauti kati ya kuishi na kifo! Ccm
Watawadanganya vijana wachache kwa propaganda za wasanii kwani hawana kujitambua ; lakini kwa wale maelfu ya vijana waliojitambua Hawatadanganywa kwa kupewa T shirts za kijana bali wanataka mabadiliko ya msingi katika maisha yao hata baada ya uchaguzi. Hawa ndio watakaoikomboa nchi!
 
Una hoja gani tofauti na zake? Lete tusikilize.
Is bare headed person, kama wewe unamuona good point of reference!!! Utakuwa ni kituko na kichekesho.

Kwangu Ngurumo Ansbert ni the commedy kama BAMBO, Mkojani au SENGA.
 
Is bare headed person, kama wewe unamuona good point of reference!!! Utakuwa ni kituko na kichekesho.

Kwangu Ngurumo Ansbert ni the commedy kama BAMBO, Mkojani au SENGA.
Una hoja gani tofauti na zake? Karibu tukusikilize….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…