John Manoni
JF-Expert Member
- Sep 5, 2020
- 244
- 167
Sikiliza, CHADEMA wasingeshiriki uchaguzi wa 2020 hata kama CCM wanaendelea na mambo yao ingekuwa sauti tofauti na unayoisikia leo, CHADEMA wasiposhiriki na CCM wakaleta tule tu vyama haitawazuia CHADEMA kupaza sauti.Uchaguzi wa Mitaa vijiji na vitongoji 2024 ulishuhudiwa hata na viongozi wa dini kuwa maovu yalifanywa CCM wapate ushindi,4r za Samia na maovu ya uchaguzi wa wenyeviti 2024,hali itakuwaje 2025? Kukosa kila kitu na kupata kila kitu unahakikishaje kwa katiba na sheria za tume hiyo yenye wasimamizi hao wanaowekwa naShida hata chadema wasiposhiriki uchaguzi ccm wataleta tule tuvyama twao tunavyofufuka kipindi cha uchaguz ili kudanganya dunia kuwa tz kuna uchaguzi wa vyama vingi... halafu hapo chadema wanakosa kila kitu no wabunge no nini then ccm wanaendelea na mambo yao kama 2020 tuu
Mwenyekiti wa CCM na imeongezewa kaneno,HURU,ndiyo kusema hakuna kususia ila tuzuie uchaguzi usifanyike, viongozi wa dini,asasi mbalimbali,vyama vya siasa na wananchi. Tukishindwa sisi leo, kesho tutawaambia watoto wetu.